TIMU ya kuogelea ya Dar Swim Club inatarajia kushiriki mashindano ya taifa ya Kenya 'Kenya Aquatics Long Cource Championship' yanayotarajiwa kuanza Jumamosi, Februari 15 hadi 16. Akizungumza na ...
Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imekiri kuwa deni la Taifa hilo linazidi kukua, japo linahimilika na lipo ndani ya viwango vinavyokubalika kimataifa. Kauli hiyo imetolewa na Gavana wa BOT Emmanuel ...
MABONDIA 16 wa timu ya Taifa ya ngumi, wameingia kambini jana Jumapili tayari kwa maandalizi ya ushiriki wa mashindano ya Ubingwa wa Dunia kwa Wanawake yatakayofanyika katika Jiji la Nis, Serbia Machi ...
Na Mohammed Ulongo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha mashindano ya ...
Hadi tunapozungumza leo timu ya Taifa, Taifa Stars haina kipa namba moja, wamekuwa wakipishana karibu kila baada ya mechi mbili kwa kuwa wote wamekuwa siyo makipa namba moja kwenye klabu zao. Aishi ...
Mwanamuziki nyota wa Bongo Flava, Omary Ally Mwanga, maarufu kama Marioo, ametangazwa rasmi kuwa Balozi wa Bahati Nasibu ya Taifa ya Tanzania. Ushirikiano huo wa kimkakati unaleta matumaini, burudani, ...
Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema uwezeshwaji wa wanawake katika nyanja mbalimbali, ikiwemo masuala ya uongozi, utasaidia kuongeza na kuimarisha nguvukazi ya nchi ...
Maelezo ya picha, Tareq, mvulana wa ki-Palestina mwenye umri wa miaka 10, ameketi juu ya rundo la vifusi huko Gaza, akiwa amevalia suruali ya dangirizi, sweta na mkoba wa manjano. 10 Februari 2025 ...