Katika juhudi za kubadilisha taswira ya utalii wa Tanzania, Kampuni ya Maendeleo Hospitality Ventures (MHV) inayosimamiwa na ...
Katika hatua inayolenga kubadili taswira ya utalii wa Tanzania, Kampuni ya Maendeleo Hospitality Ventures (MHV), inayoongozwa na wawekezaji wa Kimarekani, imetangaza mpango wa kujenga hoteli ya ...
BAADA ya makundi ya Fainali za Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 (Afcon U17) na zile za chini ya umri wa miaka 20 (Afcon U20) 2025 kupangwa juzi, timu ya taifa ya vijana ya ...
TIMU za Taifa za Tanzania chini ya miaka 17, Serengeti Boys na ile ya chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes, kila moja imepangwa kundi A na mwenyeji kwenye michuano ya AFCON kwa vijana itakayofanyika ...
非洲是人类的摇篮,是地球上四分之一哺乳动物物种以及现存数量最多的陆地大型动物的家园。对于许多人来说,体验非洲狩猎旅行仅是一次难忘的假期。但对于另一些人来说,进入这片大陆原始的荒野会激发精神上的联系,产生一种天生的归属感。
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umetangaza vifurishi vipya vya bima katika makundi mawili ya Serengeti Afya na Ngorongoro Afya, kifurushi cha chini kikiwa ni Sh. 240,000 na cha juu Sh. 6,388,400 ...
Wanajeshi wawili kutoka Tanzania wameuawa nchini DRC kwa mujibu wa Jeshi la Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa iliotumwa kwa vyombo vya habari na Jeshi la Ulinzi la Tanzania , wanajeshi hao ...
Siku ya Jumanne juma lililopita, wakandarasi na washirika wanaofanya kazi na Shirika la Misaada la Marekani (USAID) nchini Tanzania na Kenya walianza kupokea barua hizo ili kusitisha ufadhili huo ...