"Mhe. Rais, tunakushukuru kwa kuwa nasi tena leo. Tangu ulipozindua programu hii mwaka 2016 na kuhudhuria mahafali ya sita mwaka 2021, umeendelea kuwa mwanga wa matumaini kwa wanawake wengi ...
“Katika kipindi cha 2021-2027, Umoja wa Ulaya umetenga euro milioni 703, ili kusaidia mipango mbalimbali ya maendeleo nchini Tanzania, tunakushukuru hasa kwa kujitolea kwenu kuimarisha ushirikiano huu ...
Majaliwa alisema Tanzania inathamini msaada unaotolewa na EU kuchangia shughuli za maendeleo nchini. “Katika kipindi cha 2021-2027, Umoja wa Ulaya umetenga Euro milioni 703 ili kusaidia mipango ya ...