Dar es Salaam. Zikiwa zimebaki siku tatu kuazimisha siku ya Kimataifa ya Kifafa duniani itakayoadhimishwa Februari 10, 2025, imeelezwa ugonjwa huo husababishwa na hitilafu ya kusambaa kwa umeme ...
ULAJI wa nyama ya nguruwe isiyoiva ipasavyo, ajali, uzazi pingamizi na mbung’o vimetajwa kuwa vyanzo vya kuenea kwa ugonjwa wa kifafa. Pia imebainika kuwa wagonjwa wengi wanaosumbuliwa na ugonjwa huo ...
Dar es Salaam. Matokeo ya sasa ya utafiti yanaonesha kupungua kwa idadi ya wanaoathirika na ugonjwa wa kifafa, kutoka zaidi ya 70 mpaka 20 hadi 15 kwa kila watu 1000. Utafiti huo uliofanywa na Chama ...
Madaktari walimuonya Jane huenda binti yake akaaga dunia kutokana na kifafa. Jane anasema hataki kuvunja sheria - lakini ukali wa ugonjwa wa Annie, umemfanya kutojali sheria. Tumebadilisha majina ...
Aidha amesema kifafa ni ugonjwa wa kudumu wa ubongo unaoathiri takribani watu milioni 60 ulimwenguni kote huku ukiathiri watu 34 hadi 76 kwa kila wagonjwa 100,000 wapya wanaoongezeka kila mwaka.
Wananchi wa Jamhuri ya Congo, au Congo-Brazaville, ni mashuhuda wa jinsi shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ulimwenguni, WHO limewasaidia kukabiliana na ugonjwa wa macho na ngozi unaosababishwa na ...
Mabadiliko haya chanya yanafuatia mkakati ulioanza mwaka 2001 wa WHO kwa ushirikiano na serikali wa kuendesha kampeni za kila mwaka za kugawa dawa kwa wananchi. Jean-Marie Saboutou ni Mhamasishaji wa ...
Wizara ya Afya ya Uganda imeripoti kuwa muuguzi mmoja amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa Ebola, katika mji mkuu, Kampala. Katibu mkuu wa wizara hiyo, Diana Atwine, amekiri mbele ya waandishi ...
Guinea imekuwa ilishiriki katika majaribio ya matibabu ya ugonjwa wa malale ambayo yalifanyiwa utafiti mara ya kwanza nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Timu ya madaktari kutoka DRC na Guinea ...
Charity Muturi alikabiliana na mawazo ya kujiua tangu akiwa na umri wa miaka 14. Katika miaka yake ya 30, Charity, kutoka Kenya, aligunduliwa kuwa na ugonjwa wa bipolar. Lakini badala ya kuruhusu ...
Msanii huyo ameweka wazi kuwa alikuwa akisumbuliwa na tatizo la Umeme wa Moyo kwa muda mrefu lakini kwa sasa amepona kabisa. "Kwa sasa kijana wenu nimepona kabisa ugonjwa wa moyo uliokuwa unanisumbua ...