WATANZANIA leo wanaungana na watu wa mataifa mengine duniani kusherehekea Mwaka Mpya wa 2025. Kwa ujumla, furaha hiyo inatokana na ukweli kwamba kwa neema ya Mungu, wamevuka mwaka 2024 salama salmini ...
WANANCHI 14,624 waliopimwa magonjwa ya macho katika kipindi cha mwaka 2024 mkoani Shinyanga, wamebainika kuwa na matatizo makubwa ya ugonjwa wa macho, wengi wakiwa na mtoto wa jicho. Hayo ...
Mashambulizi ya jicho kwa jicho na kuvuana nguo. Vita ya maneno na mabadilishano ya ahadi kuhusu kesho ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Kilikuwa kipindi pevu cha mnyukano, hatimaye ...
Zaidi ya watu 70 wamefariki katika ajali ya barabarani kusini mwa Ethiopia siku ya Jumapili Desemba 29, polisi imetangaza katika ripoti mpya, ikibainisha kuwa gari lililokuwa likiwasafirisha ...
Waokoaji wanahofia huenda watu wote 181 waliokuwemo ndani ya ndege hiyo wameangamia isipokuwa watu wawili ambao wamenusurika. https://p.dw.com/p/4oelB Kulingana na ...
Dar es Salaam. Komanya Erick Kitwala, Luhaga Mpina na Dk Yahya Nawanda ni miongoni mwa majina ya watu maarufu walioingia katika kumbukumbu za Mahakama kwa mwaka 2024, kutokana na kesi zilizowahusisha ...
Waziri wa mambo ya ndani Pascoal Ronda amewaambia waandishi wa habari jana jioni kwamba jumla ya matukio 236 ya vurugu yaliripotiwa kote nchini humo na kusababisha majeruhi ya watu 25 wakiwemo ...