Katika hali isiyo ya kawaida mama mzazi wa aliyekuwa mmiliki na mkurugenzi wa Kituo cha Michezo cha Alliance kilichopo jijini Mwanza, James Bwire, aliyefariki dunia Januari 25, 2025 naye amefariki.
Mwananchi limezinasa taarifa kutoka ndani za uongozi wa Yanga kutafuta kila njia za kumrejesha Fei Toto kikosini, ikiwemo kutumia njia ya kuzungumza na mama yake mzazi ili amshawishi kijana wake ...
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Eliakim Maswi, amesema Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, lengo lake kuu ni kuhakikisha haki inapatikana kwa wakati, hasa kwa wananchi wanyonge.
Mwanza. Nchagwa Manga, mama mzazi wa Mkurugenzi wa Kituo cha Michezo cha Alliance kilichopo jijini Mwanza, James Bwire aliyefariki Januari 25, 2025, naye amefariki leo Ijumaa Januari 31, siku ya ...
“Tendo hili mlilolifanya wananchi wa Chato bila nguvu yeyote Mungu mwenyewe ametuongoza tukapata kiasi hiki, mkuu wa wilaya alisema fomu ni milioni moja, ila sisi tayari tumeipata pesa ya mama Samia ...
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk. Damas Ndumbaro, amesema Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia itapita kila halmashauri, wilaya, kata, vijiji na vitongoji na mitaa yote kuhakikisha kila mtanzania ...