Wataalamu wa afya wanazitaja siku 1,000 za ukuaji huo kuwa muhimu zaidi kwa afya ya mama na mtoto. Wiki 36 na kuendelea kwa ujauzito zimo katika siku 1,000 zinazotajwa kuwa muhimu katika ukuaji wa ...
Hali hiyo imeibua mvutano wa kifamilia kati ya mama wa marehemu na baba wa marehemu. Upande wa baba, ambao wote wanaishi nyumba moja, umesisitiza kwamba mwili wa Irene ufanyiwe taratibu za Kikristo ...
Watoto wake walifikia hatua ya kuondoa SIM kadi kwenye simu ya mama yao ili kumzuia kupata mtandao kwa lengo la kumkwamisha kuingia kwenye Facebook na TikTok. "Tulizima Wi-Fi na tukaondoa kadi ya ...
Simulizi ya mama alivyoshuhudia wanae pacha wakitengenishwa Akiwa zahanati, anaeleza uchungu uliongezeka lakini badala ya tumbo kushuka kuashiria kujifungua, lake lilipanda juu. Kutokana na hali hiyo ...
Unaweza kusema ilikuwa ni zaidi ya burudani kwa Watanzania katika pambano la Knock Out ya Mama lililoanza usiku wa jana Desemba 26 na kufikia tamati saa 12 asubuhi ya leo Desemba 27, 2024 kwenye ...
Dar es Salaam. Unaweza kusema ilikuwa ni zaidi ya burudani kwa Watanzania katika pambano la Knock Out ya Mama lililoanza usiku wa jana Desemba 26 na kufikia tamati saa 12 asubuhi ya leo Desemba 27, ...
Baada ya kufanikiwa kujifungua mtoto, madaktari walimhamisha mama na mtoto mchanga hadi chumba kingine ili kupata nafuu na kisha wakakusanyika kupiga picha ya pamoja. Ilikuwa ni ushahidi wa kuishi ...