MABINGWA watetezi, Yanga wamemkaribisha Kocha Mkuu mpya, Miloud Hamdi, kwa kupata ushindi mnono wa mabao 6-1 dhidi ya KenGold katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara iliyochezwa kwenye Uwanja wa KMC ...
UONGOZI wa klabu ya Yanga umeweka wazi kwa kusema kwamba una ushindani mkubwa na maadui wakubwa kinachowanusuru ni umoja, mshikamano na mapambano ya dhati kutoka kwa wanachama wa klabu huyo. Meneja ...
KATIKA usajili wa dirisha dogo uliofungwa Januari 15 mwaka huu, Yanga ilitambulisha wachezaji wawili pekee ambao ni beki Israel Mwenda kutoka Singida Black Stars na Jonathan Ikangalombo anayemudu ...
MABOSI wa Simba wameonyesha hawatanii. Baada ya kumvutia waya kiungo kutoka Guinea anayeichezea CS Sfaxien ya Tunisia, safari hii imeigeukia Yanga, ikipiga hesabu ya kuibomoa. Simba inayoongoza ...
ILI kupoza maumivu ya kutolewa kwenye mashindano ya kimataifa ya Ligi ya Mabingwa Afrika, uongozi wa Yanga umesema kikosi chao kimejipanga kutoa vipigo katika kila mechi watakayocheza wakianza na ...
LIGI Kuu Tanzania Bara inatarajia kuendelea leo kwa Yanga kuikaribisha Singida BS Uwanja wa KMC, Mwenge, Dar es Salaam na Fountain Gate kuivaa Tabora United, Uwanja wa Tanzanite Babati, Manyara.
Dar es Salaam. Katika usajili wa dirisha dogo uliofungwa Januari 15 mwaka huu, Yanga ilitambulisha wachezaji wawili pekee ambao ni beki Israel Mwenda kutoka Singida Black Stars na Jonathan Ikangalombo ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果