Leo naendelea kusimulia mikasa iliyowahi kuwapata wanamuziki kutoka Kongo walioalikwa nchini na kufanya maonyesho ya muziki hasa katika kipindi kati ya mwaka 1990 na 1999. Wiki iliyopita nilianza kwa ...
Moshi. Mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali, imesababisha maafa katika Kitongoji cha Zilipendwa Kata ya Makuyuni, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro baada ya nyumba kuezuliwa paa na kusababisha ...