DAR-ES-SALAAM : TANZANIA ni miongoni mwa nchi za Afrika ambazo zimefanikiwa kupata uhuru bila kumwaga damu. Mafanikio haya yanatokana na juhudi na maono ya Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius ...
PWANI: MKURUGENZI Mtendaji wa Shirika la Umeme (TANESCO) Gissima Nyamo-Hanga amesema kwa sasa jumla ya mashine tano zimekamilika kwa asilimia 100 yaani mashine namba 9, 8, 7, 6 na 5 na tayari zimeanza ...
Wakati Tanzania Bara ikiadhimisha miaka 63 ya Uhuru, ni wazi kuwa uwezo wa kujenga hoja wa Mwalimu Julius Nyerere ulikuwa kiini cha kufanikisha Uhuru wake kutoka kwa wakoloni wa Kiingereza Desemba 9, ...
“Kuimarika kwa uzalishaji wa umeme nchini kumechangiwa na kuanza uzalishaji katika Mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) wenye uwezo wa kuzalisha Megawati 2,115 ambao hadi sasa utekelezaji ...
Desemba 9 mwaka 1961 - mambo makubwa mawili yalifanyika kama sehemu ya maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika; Mosi ilikuwa ni kushusha chini bendera ya mkoloni na kupandisha ya taifa huru na wakati ...
Kijiji hicho chenye ukubwa wa ekari 15 kipo maeneo ya Makumbusho jijini humo kilianzishwa mwaka 1966, ikiwa ni wazo la Mwalimu Julius Nyerere. Wazo la kuanzisha lilimjia baada ya watu wa kabila la ...
Mchezo wa bao ni moja ya michezo ya jadi iliyoasisiwa miaka mingi iliyopita na ulikuwa ukipendwa kuchezwa na Rais wa Awamu ya Kwanza na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na ulikuwa ukitumiwa ...
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dk. Rachel Mhavile, akizungumza na waandishi wa habari, punde baada ya watoto hao kuwasili kutoka Saudia Arabia, kwenye Uwanja wa ...
Zamani wachezaji kama Pacome Zouzoua wangeishia Mazembe. Siku hizi wanatua uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere kusaini mikataba yao na timu za Kariakoo. Hawaendi tena Mazembe. Matokeo yake juzi ...