Katika ujumbe wake wa mwaka mpya, Macha amewataka Watumishi wa Serikali kuendelea kufanya kazi kwa kujitolea, uzalendo, na kushirikiana na wananchi kutatua changamoto zao. Alisisitiza kuwa kazi isiwe ...
Walakini, nimepata watumiaji wengi wa kawaida wanaweza kupata bila malipo na toleo la bure. Ingawa CapCut ina uwezo wa kushangaza, haijaribu kuchukua nafasi ya programu ya uhariri wa kitaalamu. Ni ...
Kwa mujibu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu na misaada ya dharura OCHA, vifaa muhimu vya maji, usafi na usaf wa mazingira na shughuli ziko hatarini kusitishwa ikiwa ...
Tenki la kuhifadhi maji lita milioni moja lililojengwa na Mauwasa katika kilima cha Nyalikungu mjini Maswa. Picha Na Samwel Mwanga Maswa. Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira mjini Maswa (Mauwasa) ...
Ulinzi wa afya ya mama, familia, mazingira na taifa dhidi ya mabadiliko ya tabianchi ni lazima uanzie jikoni. Mkutano Mkuu wa Maboresho ya Serikali za Mitaa (TOA), ulieleza kuhusu tamanio la serikali ...
endelevu na rafiki wa mazingira. Pia amesisitiza kuwa pamoja na uwepo wa vyanzo hivyo, pia serikali kupitia kampuni ya Uendelezaji Joto Ardhi Tanzania (TGDC) ambayo ni kampuni tanzu ya Shirika la ...
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema atalifunga kwa muda Soko la Kimataifa la Samaki Feri iwapo hali ya usafi haitaridhisha sokoni hapo hadi kufikia Januari 23, mwaka huu. Alisema ...
Wakati wa mapambano ya Uviko-19, jamii ilihamasishwa kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni, kuepuka kugusana, matumizi ya maji safi na salama na kuzingatia usafi wa mazingira. Mbali ya hayo ... Dk ...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, George Simbachawene. Na Ramadhan Hassan, Mtanzania Digital Serikali imetangaza kuanza kwa usaili wa kada ya ualimu kuanzia Januari 14 hadi 24 ...
"Katika wiki za hivi karibuni, kumekuwa na mazungumzo katika duru za ngazi ya juu za kimataifa kuhusu haja ya 'kujikwamua mapema na kujenga upya ... "Fedha hizo zitatumika kutoa vitu muhimu vya msaada ...
Waziri wa Sheria wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC),Constant Mutamba amezungumzia Januari 6, 2025 huko Kinshasa kuhusu hali ya wanachama wa magenge ya mijini waliokamatwa na kuhukumiwa kifo ...
Makala hii imeangazia namna ambavyo nchi zetu zilivyoukaribisha mwaka wa 2025 kwa shamrashamra za kila aina huku wakisema kwaheri kwa mwaka 2024 ulioshuhudia michezo mikubwa zaidi ulimwenguni ya ...