TAASISI ya Elimu Tanzania (TET), imeandaa mpango wa kuhakikisha kila mwanafunzi shuleni anakuwa na kitabu, ikiwa ni kusherehekea miaka 50 tangu kuanzishwa kwake. Aidha, ili kufikia lengo hilo, TET ...