NI siku ya hukumu! Baada ya tambo za muda mrefu, leo sanduku la kura linaamua nani awe Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Freeman Mbowe ameomba achaguliwe tena kukiongoza chama ...
Utulivu kiasi Goma, M23 inadhibiti eneo kubwa Shule zimefungwa Goma na Nyiragongo UNICEF yasaka dola milioni 22 kukidhi mahitaji ... la Kivu Kusini, hali ya utulivu imeshuhudiwa kwa kiasi fulani tangu ...
Rais Donald Trump kwa mara nyingine alitangaza Marekani kujiondoa kwenye Mkataba wa Paris kuhusu mabadiliko ya tabia nchi, hatua ambayo imeibua mjadala wa kimataifa. Tangazo hilo lilikuja huku ...
Wapalestina wanarejea katika makazi yao kaskazini mwa Gaza baada ya Israel jana Jumatatu kuondoa vikwazo vya kufika kwao katika eneo hilo. Hatua hiyo ya Israel inakuja baada ya kundi la Hamas ...
SK2 / S02S 28.01.2025 28 Januari 2025 Waandamanaji washambulia balozi za kigeni Kinshasa+++Marais zaidi ya 20 wa nchi za Afrika wamekutana nchini Tanzania leo kujadili upatikanaji wa umeme kwa ...
SK2 / S02S 28.01.2025 28 Januari 2025 Wanajeshi wengine wa Afrika Kusini wauawa mashariki Kongo+++Tanzania - Mataifa ya Afrika yanatafuta namna ya kuwaunganisha watu milioni 300 ifikapo 2030 ...
MAREKANI : RAIS wa Marekani Donald Trump amepanga kuwaondoa kazini zaidi ya watu 1,000 walioteuliwa na utawala wa Rais wa zamani Joe Biden. Miongoni mwa watu watakaoondolewa kazini ni mpishi mashuhuri ...
Mbali na kauli hiyo ya Lissu, Mbowe naye amesisitiza chama hicho hakitavunja umoja wake, licha ya mapito wanayoyapitia, na tofauti zao zitazimwa. Viongozi hao wamesema hayo leo Jumanne, Januari 21, ...
DAR ES SALAAM; SIMBA imeendelea kuthibitisha ni somo katika michuano ya kimaaifa baada ya leo kuifunga CS Constantine ya Algeria mabao 2-0 mchezo wa Kombe la Shirikisho Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar ...
KOCHA wa Simba, Fadlu Davids ameonyesha kufurahishwa na viwango vya wachezaji wa timu hiyo na kuwamwagia sifa kutokana na kuonyesha ukomavu na kupata matokeo ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya CS ...
Yanga kwa namna yoyote ile inatakiwa kupata ushindi katika mechi yake ya mwisho ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya MC Alger leo katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, kuanzia saa 10:00 ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果