Dar es Salaam. Siku tatu zijazo nchi za Kenya na Tanzania zitaweza kufanya biashara ya umeme baada ya kuwashwa kwa njia ya msongo wa kilovoti 400 inayounganisha mataifa hayo mawili vinara kiuchumi ...
Dar es Salaam. Tanzania imeipiku Kenya kama chanzo kikubwa zaidi cha bidhaa za Uganda, ikionesha mabadiliko katika biashara, hasa ndani ya Afrika. Kwa muda mrefu Kenya imekuwa mshirika mkuu wa ...