Mwanamuziki nyota wa Bongo Flava, Omary Ally Mwanga, maarufu kama Marioo, ametangazwa rasmi kuwa Balozi wa Bahati Nasibu ya Taifa ya Tanzania. Ushirikiano huo wa kimkakati unaleta matumaini, burudani, ...
Dar es Salaam. Baada ya kumalizika kwa sherehe ya Hamisa Mobetto na Aziz Ki, sasa mashabiki wamehamia upande wa Paula Paul na Marioo wakiwataka wawili hao waoane. Kupitia mitandao ya kijamii, ...