hivyo Camara raia wa Guinea, amebakisha michezo 11 kama atasimama langoni ili kuvunja rekodi hiyo. Kama atasimama langoni bila kuruhusu bao kwenye mchezo wa leo dhidi ya Azam FC, atakuwa tayari ...
Chipukizi huyo mwenye asili ya India, ambaye alizaliwa mwaka wa 2010, ni mwanachama katika uwanja wa Muthaiga Golf Club na alipata uungwaji mkono mkubwa kutoka kwa mashabiki wa nyumbani siku Ijumaa.
Kigoma. Yanga iko ugenini katika Uwanja wa Lake Tanganyika leo kuanzia saa 10:30 jioni katika mchezo wa ligi ambao hauonekani kuwa mwepesi kwa kila upande. Sababu kuu ya ugumu wa mchezo huo ni nafasi ...
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu Hamdi Miloud kinashuka dimbani Februari 23 kusaka alama tatu muhimu katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mashujaa mkoani Kigoma. Yanga itakuwa ...
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imebadili uwanja na muda wa kuanza kwa mchezo namba 167 wa Ligi Kuu ya NBC baina ya Simba na Azam ambao ulipangwa kufanyika kwenye Uwanja wa KMC Complex, Februari 24, ...
Kwenye michezo iliyopita Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 6-1 dhidi ya KMC huku Singida BS ikipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya JKT Tanzania. Akizungumzia mchezo huo, Kocha Mkuu wa Yanga, Miloud ...
KOCHA wa PAOK, Razvan Lucescu, ameonyesha kuridhishwa na kiwango cha sasa cha mshambuliaji wake na nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta ambaye amefunga mabao manne na kutoa asisti moja katika ...
Kocha Msaidizi wa KMC, John Matambala amefunguka kuwa walipata maumivu makubwa ya kupoteza mchezo ulipita kwa kufungwa na Yanga mabao 6-1, huku akiahidi kijiponya maumivu kwa JKT Tanzania kesho.
"Vyombo vya habari pia vinaweza kuchukua jukumu muhimu katika kurahisisha mchezo wa gofu na kuleta demokrasia katika mchezo. Kwa miaka yote, mchezo umetazamwa kama wakati uliopita au burudani kwa ...
Timu ya Pamba Jiji chini ya Kocha Felix Minziro (Majeshi, Baba Isaya) imeendelea kujinasua katika nafasi za chini baada ya leo Februari 15 2025 kuichapa Coastal Union mabao 2-0 katika mchezo wa Ligi ...
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imesogeza mbele mchezo baina ya Simba na Dodoma Jiji FC ambao ratiba ya awali inaonyesha ilipangwa kuchezwa Februari 15, 2025 katika Uwanja wa KMC Complex, Dar es ...
Fungua mkoba na ufunge kwa vichupo vya Velcro. Tumia uso wa kitambaa gandamizo kwa mchezo wa kufikiria. Kaza au legeza kamba za mkoba ili mfuko ukae mgongoni mwa mtoto wako. Unda bustani na vibandiko ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果