Daraja la J.P Magufuli. ABIRIA na watumiaji wa vyombo vya moto katika eneo la kivuko cha Kigongo-Busisi, mkoani Mwanza wamelazimika kuvunja geti na kupita daraja la dharura linakojengwa daraja kubwa ...
Kisha, nitakuonyesha jinsi nilivyotumia Riffusion kutengeneza matoleo mengi ya nyimbo kwa kutumia ufupisho huu wa maandishi: “Mdundo wa ndoto wa lo-fi jazz wenye piano laini, saksafoni tulivu, na ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew.
DODOMA – Tanzania imesema askari wake wawili wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ) waliokuwa wakishiriki shughuli za ulinzi wa amani wameuawa kufuatia shambulio la Waasi wa M23 huko Goma, nchini DRC.
NI nadra kuona mchezaji akiwa na mwendelezo wa kiwango msimu hadi msimu. Ni wachache sana na kwa kuangalia viwango vyao, kila msimu wanatabiriwa kufanya makubwa na inakuwa hivyo. Kiungo Clatous Chota ...
Hili likidhihirika katika masuala kama vile usawa wa jinsia, uongozi, muonekano wa wanawake michezoni ... huu wa jinsia katika michezo ni jambo la msingi ambalo wanaweza sasa kueleza na kuweza ...
Dodoma. Usaili wa walimu wa daraja la 3C Kiswahili uliopaswa kufanyika Januari 28, 2025, umesogezwa mbele hadi Januari 30, 2025, ili kupisha mkutano wa siku mbili wa nishati wa wakuu wa nchi za Afrika ...
Baada ya miezi 15 ya vita, Trump amesema Gaza imekuwa kile alichokiita "eneo la ubomoaji", akiongeza kuwa amezungumza na Mfalme Abdullah II wa Jordan kuhusukuwahamisha Wapalestina nje ya eneo hilo.
WAZIRI wa Ujenzi Abdallah Ulega amesema Daraja la John Pombe Magufuli (Kigongo-Busisi ... ujuzi walioupata ni hazina kwa Taifa na utawawezesha kupewa miradi mingine ya aina hiyo siku zijazo. “Fanyeni ...
Matumaini ya kutumia dakika tano kuvuka katika eneo hilo, yametokana na ujenzi wa daraja la JPM kufikisha asilimia 96.4 za ujenzi wake, ambapo mwezi ujao litaanza kufanya kazi ili kuleta ahueni kwa ...
"Mwonekano wangu nilipewa na wazazi wangu," kijana huyo mwenye umri wa miaka 28 aliandika kwenye jukwaa kama Twitter la Weibo. "Nimeitukana China siku niliyozaliwa kwa sababu tu ya muonekano wangu?" ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果