Yeye akajiita Mobutu Sese Seko Kuku Ng’bendu wa Zabanga, huku nchi yake akiibadili jina na kuiita Zaire, akikataa kuitwa majina yaliyotoka kwa wageni waliokuja kututawala kwa maslahi yao binafsi, ...
Jibu: Nikupe mifano. Mkoa wa Dar es Salaam umezungukwa na maji ... Haishii tu kwenye mabango bali na katika leseni za biashara na kujikuta asilimia 30 ya mapato yote ya shule unalipa kodi. Lakini ...
Sasa umenichagulia jina gani?” “Nitakuoa kwa jina la Saumu ... kwanza awekee mlinzi wa ile nyumba na pili anitafutie dada wa kazi. Sele alikubali kufanya yote. Aliajiri mlinzi na kunitafutia dada wa ...
VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Arumeru mkoani Arusha wamehimizwa kueleza mazuri yanayofanywa na chama hicho na kuonesha jinsi chama kinavyofanya kazi katika kuwaletea maendeleo wananchi.
Sitaki usumbuke shangazi yangu.” “Mh! Wewe mtoto una moyo mgumu sana!” “Yameshapita shangazi, usijali.” Shangazi akamchukua mwanangu na kumbeba. “Mmempa jina gani?” “Siku ile naumwa na uchungu babake ...
“Kumetawala ukimya tangu tulivyofanyiwa uhakiki kwa mara nyingine na pia tumesikia mkuu wa mkoa alishapokea ripoti, sasa mbona hakuna tunachoambiwa nini kinaendelea na kilichobainika katika ripoti ile ...