BODI ya Ligi Nchini (TPLB), imesema Ligi Kuu Tanzania Bara itaanza kwa mechi za 'viporo' za Simba na Yanga, kabla ya kuendelea na raundi ya 17, imeelezwa. Ofisa Mtendaji mKuu wa TPLB, Almasi Kasongo, ...
*Ni katika urejeshaji wa mikopo Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amependa ushirikiano unaofanywa baina ya Kampuni ...
Baada ya Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) kuweka hadharani ratiba ya Ligi Kuu Bara inaonyesha mwezi ujao ambao ligi hiyo itarejea baada ya kusimama kwa muda, utakuwa na mechi nyingi zaidi. Katika mwezi ...
Dar es Salaam. Yanga na Simba zitaumana Machi 8, 2025 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa katika mechi ya marudiano ya Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu. Hiyo inafuatia marekebisho ya ratiba ya ligi ambayo ...
DAR ES SALAAM; SIMBA wameanza kutamba bwana! Leo walijana pale Viwanja vya Mwembe Yanga, Temeke, Dar es Salaam kufuatilia kwenye televisheni mchezo wa mwisho hatua ya makundi kati ya timu hiyo na CS ...
MASHABIKI wa Yanga tangu juzi wamekuwa na presha kutokana na kutoonekana mazoezini kwa kiungo mshambuliaji nyota wa timu hiyo, Pacome Zouzoua wakati zikibakia saa chache kabla ya kuvaana na MC Alger ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果