Adhabu mbalimbali zilizotolewa na kamati ya uendeshaji na usimamizi ya bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kuvuna Sh10.5 milioni. Adhabu hizo zimetokana na makosa mbalimbali yaliyofanywa na timu, ...
Dodoma. Bodi ya Nyama Tanzania (TMB) imewataka walaji wa nyama katika kipindi hiki cha sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya kuhakikisha kitoweo hicho kina alama ya mihuri inayoonesha imekaguliwa ili ...
Bodi ya Chai Tanzania (TBT) imeanza juhudi za kurejesha masoko ya chai yaliyopotea kwa lengo la kukabiliana na changamoto zinazowakumba wakulima wa chai kutokana na kukosa soko la uhakika. Akizungumza ...
NAIBU Waziri wa Fedha, Hamad Hassan Chande ameitaka Bodi ya Taifa ya Wahasibu kufanya kazi kwa weledi na ushrikiano kwa kuhakikisha inapitia mitaala iliyopo kwajili ya uboreshaji wa taaluma ya uhasibu ...
MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Arusha (AUWSA) imepongezwa kwa kusimamia vyema mradi mkubwa wa maji wenye thamani ya Sh bilioni 520 ambao umetatua changamoto za maji kwa wananchi. Aidha ...