pia katika mkoa wa Kagera. Kupitia hatua madhubuti, mlipuko huo uliweza kudhibitiwa na kutangazwa kumalizika ndani ya miezi miwili. Marburg ni ugonjwa wa virusi unaosababisha homa kali ya kutokwa damu ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya duniani, WHO, limeripoti uwezekano wa kuweko kwa mlipuko wa homa ya Marburg wilayani Biharamulo na Muleba, mkoani Kagera nchini Tanzania baada ya watu 9 kuugua ...