MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi, amesema ni vyema kila mmoja akapunguza kugombana na mtu au watu ili kujiepusha na magonjwa yasiyoambukiza (NCDs).
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima. WATU 14 wamefariki dunia na wengine nane kujeruhiwa baada ya magari waliokuwa wakisafiria, basi dogo aina ya Costa na lori la mizigo, kugongana uso kwa uso usiku ...
Iringa. Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika Chuo Kikuu Rucu mkoani Iringa, Rachel Mkubwa amefariki dunia kwa kile kilichodaiwa kubakwa hadi kufa na watu wasiojulikana. Tukio hilo limetokea usiku wa ...
Katika miaka ya karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la mitandao ya utapeli inayojificha katika muundo wa uwekezaji. Hii imekuwa inajirudia mara kwa mara na watu wengi wamejikuta wanapoteza fedha zao ...
Shirika linalofuatilia vita nchini Syria limesema watu 16 wameuawa hii leo katika shambulizi la anga ambalo huenda lilifanywa na Urusi, ambaye ni mshirika wa serikali ya Damascus. Shirika hilo la ...
Takriban watu 82 wameuwawa na wengine 156 kujeruhiwa kufuatia siku tatu za mapigano makali ya madhehebu ya kidini kaskazini-magharibi mwa Pakistan. Pakistan ni nchi yenye Wasunni wengi lakini ...