Katika juhudi za kuimarisha usimamizi wa hospitali na utoaji wa huduma bora kwa wananchi, Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Geita imezindua Bodi ya Ushauri ya Afya. Lengo kuu la bodi hiyo ni kuhakikisha ...
Serikali ya Uganda imetangaza kuwa itaiondoa kesi dhidi ya mpinzani mkongwe, Kizza Besigye, kutoka mahakama ya kijeshi na kuipeleka mahakama ya kiraia, huku ikimtaka asitishe mgomo wa kula gerezani.
"Ubelgiji imeongoza kampeni kali, pamoja na DRC, yenye lengo la kuhujumu upatikanaji wa fedha za maendeleo kwa Rwanda, ikiwa ni pamoja na kutoka kwa taasisi za kimataifa," Wizara ya Mambo ya Nje ...
Hamas imetangaza siku ya Jumanne, Februari 18, kwamba mateka sita wa Israeli walioshikiliwa katika Ukanda wa Gaza wataachiliwa huru siku ya Jumamosi, Februari 22. Kabla ya hapo, siku ya Alhamisi ...
KATIKA kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Dk Samia Suluhu Hassan, Serikali imeongeza ufadhili, kuboresha miundombinu ya kisasa na kuimarisha ushirikiano wa kimataifa, hatua ambazo zimeleta ...
Dar es Salaam. Benki ya CRDB imetangaza mafanikio makubwa ya hatifungani ya miundombinu ya ‘Samia Infrastructure Bond,’ iliyovuka lengo kwa asilimia 115, ikikusanya Sh323bilioni ambayo ni zaidi ya ...
SERIKALI ya Uganda imetangaza kuiondoa kesi dhidi ya mpinzani, Kizza Besigye kutoka mahakama ya kijeshi na kuihamisha kesi hiyo kwenye mahakama ya kiraia. Hatua hiyo imetokana na maamuzi kutoka ...
NYOTA wa kimataifa wa Tanzania, Abdallah Shaibu 'Ninja' amesema mapigano yanayoendelea Goma, DRC Congo yamesitisha mazungumzo na kati yake na klabu ya Tanganyika FC. Kwa takriban mwezi sasa katika Mji ...
Unguja. Wakati Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) imetimiza miaka 20, imeendelea kuonyesha mafanikio katika sekta ya elimu ya juu nchini, ikikusanya fedha kwa kiwango kikubwa ili kusaidia ...
Umoja wa Mataifa umetoa wito kwa Rais wa Marekani Donald Trump, kuitengua amri yake ya kuiwekea vikwazo Mahakama ya ICC. Sheria na Haki 07.02.2025 7 Februari 2025 Marekani yaiwekea vikwazo ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果