
SWAHILI PROVERBS: METHALI ZA KISWAHILI - University of …
Laziness is a house of hunger. Ajizi ni ufunguo wa umaskini. MEM 31. Sloth is the key to poverty. 2667a. Akilaye ndiye aandikiwaye. SPK. The one who eats it (i.e., the food) is the one for whom it was destined. 2668. Akosaye la mama, atalamwa la mbwaye. JKP; KS amwa. One that is not suckled by his/her mother, will have recourse to a bitch.
Maana ya neno ajizi na English translation - Mhariri
2024年4月10日 · Ajizi katika Kiingereza inategemea maana unayokusudia: Ajizi (uvivu; ulegevu au uzembe) ni: Laziness, sluggishness, negligence. Ajizi (sifa ya kupumbaa, kuduwaa) ni: Foolishness, stupidity.
Proverbs in Swahili and their Translations and Meanings
2024年1月24日 · Ajizi ni nyumba ya njaa. (Laziness is the home of hunger.) Akiba halozi, akiba si mbi ijapokuwa ya kumbi, siku ya kivumbi hutiwa motoni. (Savings are not bad, even if they are only coconut fibres. On the day of the storm, they will be put to the test.) Akili ni mali, akili nyingi huondoa maarifa.
maana ya methali ajizi ni nyumba ya njaa | StudyX
2025年2月10日 · Methali "ajizi ni nyumba ya njaa" ina maana kwamba uvivu husababisha umaskini na njaa. Reason 1: Uvivu huzuia mtu kupata riziki. Mtu asiyefanya kazi hawezi kupata pesa za kununua chakula na hivyo huishi katika umaskini na njaa. Reason 2: Methali hii inasisitiza umuhimu wa bidii na kazi katika kupata mahitaji ya msingi ya maisha, ikiwemo chakula.
Methali Zote za Kiswahili (A-Z) - Mhariri
2024年1月24日 · Ajizi ni nyumba ya njaa. Akiba halozi, akiba si mbi ijapokuwa ya kumbi, siku ya kivumbi hutiwa motoni. Akili ni mali, akili nyingi huondoa maarifa. Akili ni nywele kila mtu ana zake. Akili nyingi huondoa maarifa. Akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki. Akutendaye mtende, mche asiyekutenda. Aliye juu mngoje chini. Aliye kando haangukiwi na mti.
maana ajizi Archives : Kiswahili Lessons
Methali: Ajizi ni nyumba ya njaa. Ajizi : uzembe/uvivu. Maana: uvivu husababisha njaa. Matumizi: Methali hii inaweza kutumiwa kwa mtu ambaye analalamika kuwa ana taabu/njaa ingawaje yeye ni mvivu.
ajizi in English - Swahili-English Dictionary | Glosbe
Translation of "ajizi" into English hesitancy, indecision, laziness are the top translations of "ajizi" into English. Sample translated sentence: Hata hivyo, hakuwa na ajizi juu ya hatua hiyo. ↔ However, he did not linger on that point.
KAMUSI YA METHALI – LUGHA FASAHA NA BUNIFU
Ahadi ni deni– Ahadi mtu akitoa lazima atimize=Hutufunza umuhimu wa kutimiza ahadi tuzitoazo. 50.Ahadi ya mwungwana ni neno lake.- Mwungwana ni yule hufanya alivyosema= methali hii hutumiwa kutunasihi tutiize ahadi zetu,hutumiwa kumpigia …
What does ajizi mean in Swahili? - WordHippo
Need to translate "ajizi" from Swahili? Here's what it means.
methali na maana yake na matumizi pasi na | StudyX
Methali: Pasi na vinganja viwili Kofi hazilli. Maana: Uzembe na ujanja hafifu haviwezi kuleta mafanikio. Matumizi: Methali hii hutumika kuonyesha kwamba juhudi za dhati na mipango mizuri ndio njia pekee ya kufikia malengo. Inaweza kutumika kuwakosoa watu wanaotegemea njia za mkato au ujanja hafifu badala ya kufanya kazi kwa bidii.