
Pre GE2025 - CCM waweka ukomo nafasi za ubunge na udiwani …
2025年3月11日 · Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, imefanya kikao chake maalum jana tarehe 10 Machi, 2025 jijini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika kikao hicho, Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa imepokea na kujadili agenda kuu mbili kama zifuatazo:-(i).
Kama mlikuwa hamjui: CCM imeliongoza hili Taifa kwa uongo …
2025年3月9日 · Mwaka 1985 CCM walitangaza na kueneza uongo unaoaminika hadi leo kuwa Nyerere aling'atuka kwa sababu hakuwa na tamaa ya madaraka wakati kiukweli kilichomkimbiza Nyerere ikulu ni mfululizo wa majaribio ya mapinduzi dhidi yake hasa ya mwaka 1981/1982 na lile la kutekwa kwa ndege ya ATCL kutokana na kushinikiza aondoke madarakani kwa sababu ya ...
Tusipozinduka, CCM tutaishiwa Pumzi mapema! | JamiiForums
2016年5月4日 · Hapa CCM itakuwa moto, Haitapoa. 5. CCM iache propaganda zile za ukiwapa wapinzani wataleta Vita, au kama hiyo kauli ya Kununua Ebola na M-Pox. Tujikite kwenye Hoja zaidi, Chadema ya sasa ni tofauti kabisa na ile ya Mbowe. Machache ya Chama changu CCM kufanyia kazi ni hayo.
Pre GE2025 - DSM - Amos Makalla: Lissu na wenzako
2024年5月16日 · Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CРА Amos Makalla amesema kuelekea katika uchaguzi mkuu, CCM inaamini imeshafanya reforms za kutosha, hivyo amemshauri Tundu Lissu na wenzake pia wakafanye reforms zao. Amesema wapinzani wanasema CCM ndiyo...
TANZIA - Katibu wa CCM Wilaya ya Rombo, Marry Sule, Afariki …
2024年5月16日 · Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro, Marry Sule amefariki dunia jana usiku Machi 18, 2025 akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Huruma. Taarifa za kifo chake zilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii usiku huohuo zikieleza kuwa Katibu huyo amefariki muda mfupi baada ya kutoka kwenye chumba cha ...
Pre GE2025 - DSM - Kigamboni: Mwana CCM Habib Mchange …
2022年8月29日 · Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imemkamata mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Habibu Mchange kwa tuhuma za rushwa inayohusishwa na uteuzi wa ndani ya chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu. Mkuu wa TAKUKURU kanda ya Temeke, Joseph Makungu amesema...
Mzee Kingunge alisema CCM imekata Pumzi, kwa sasa
2025年3月16日 · Mwaka 2015 Hayati Kingunge Ngombale Mwiru au Komredi kama Mwalimu alivyopenda kumwita, alisema hadharani kuwa CCM imekata Pumzi. Leo miaka kumi baadae inaonekana kabisa kumbe CCM ilipokata pumzi mwaka 2015, haikuzinduka na kumbe maisha yake yanategemea kupumulia mashine. Kumbe woga wa CCM kwa uchaguzi huru ni kwa …
Pre GE2025 - Professor Jay: Watanzania kumshambulia AY
2025年3月12日 · “Utaona hata mimi nimesaidiwa sana na Watu wa CCM ingawa mimi niko CHADEMA kwa sababu ubinaadamu unakuwa upo mwanzo kwanza kabla ya vitu vingine kuendelea, cha kwanza ni utu" "kwahiyo Watu kumshambulia AY kwa kuonekana kwenye majukwaa ya CCM sidhani kama ni haki, hawamtendei haki kwakweli kwa sababu ni haki yake …
Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) 2020-2025 - JamiiForums
2020年9月1日 · CCM inatambua kwamba utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo utafikia kikomo chake katika kipindi cha utekelezaji wa Ilani hii. Hivyo Chama kitazisimamia serikali zake kuandaa Dira mpya ya Taifa ya Maendeleo kuelekea mwaka 2050, na kuanza utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya Zanzibar ya mwaka 2020 – 2050.
CCM waogope sana hili joto na jua kali nchini kwa sasa. Muda si …
2024年10月28日 · Sasa basi, kwa muktadha huo, hili joto na jua ninalolishuhudia na kulisikia, Mungu epusha mbali, endapo hali ikiwa hivi mpaka December 2025 na ikapelekea wakulima na wafagaji wenye hasira wakakosa mavuno (wakavuna mabua) na wafugaji wakakosa malisho, hii ndio itakuwa gold bullet ya lile anguko la CCM wengi wetu huwa tunalizungumzazungumza …