
Tanzania: 77 waliokolewa katika jengo la Kariakoo lililoporomoka …
2024年11月17日 · Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema watu saba wameokolewa leo na kupelekwa hospitali kwa ajili ya uangalizi huku akisisitiza kuwa, kazi ya uokoaji inaonesha matumaini.
Watu 16 wamefariki kutokana na jengo kuanguka Kariakoo huko …
2024年11月18日 · Jengo la ghorofa nne lilianguka Jumamosi katika soko la Kariakoo lenye shughuli nyingi. Majaliwa alisema timu ya wataalamu 19 imeteuliwa kukagua majengo ya ghorofa katika eneo hilo.
Rais Samia aagiza majengo yote Kariakoo kukaguliwa; waliofariki …
2024年11月18日 · Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kuundwa kwa timu ya kukagua hali ya kimuundo ya majengo yote jijini Dar es Salaam na hasa katika eneo la Kariakoo lenye shughuli nyingi, kufuatia jengo la...
Ghorofa laporomoka Dar, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha
2024年11月16日 · Watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha baada ya jengo moja la ghorofa lililopo Kariakoo Mtaa wa Congo na Mchikichi jijini Dar es Salaam kuporomoka. Jengo hilo …
Jengo laporomoka Mtaa wa Mchikichi, Kariakoo, baadhi wahofiwa …
2 天之前 · Nimesikitika kupokea taarifa ya ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa katika Kata ya Kariakoo, Wilaya ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam. Nimeuagiza Uongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam, Jeshi la Polisi, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, na Idara ya Menejimenti ya Maafa kufanya kila linalowezekana kufanikisha ...
Kuporomoka jengo Kariakoo si tukio la kwanza, wataalamu wataja …
2024年11月16日 · Kuporomoka jengo la ghorofa katika mtaa wa Congo na Mchikichi, eneo la Kariakoo leo Novemba 16, 2024 kumeamsha kumbukumbu za matukio mengine ya aina hii nchini, huku wataalamu wakiainisha vyanzo...
Watu 5 wafariki baada ya jengo kuporomoka Kariakoo, Dar es …
2024年11月16日 · Idadi ya waliopoteza maisha yao Jumamosi kufuatia kuporomoka kwa jengo la ghorofa katika soko la Kariakoo mjini Dar es Salaam, Tanzania, imeongezeka na kufikia watu watano, kwa mujibu wa mamlaka. Kamanda wa uokoaji kutoka jeshi la Zima moto nchini Tanzaia Peter Mtui, amesema wengine zaidi ya 20 wamejeruhiwa huku 46 wakiokolewa.
Ghorofa laporomoka Kariakoo, kadhaa wahofiwa kujeruhiwa, …
2024年11月16日 · Dar es Salaam. Watu kadhaa wanahofiwa kujeruhiwa au kupoteza maisha kutokana na ajali ya kuanguka kwa ghorofa iliyotokea leo Novemba 16, 2024 katika Mtaa wa Kongo, Manyema na Mchikichi Dar es Salaam. Jengo hilo linaelezwa kuporomoka majira ya saa tatu asubuhi ambapo kwa mujibu wa mashuhuda waliozungumza na Shirika la Utangazaji Tanzania ( TBC ...
Jengo laporomoka Kariakoo, Dar es Salaam – DW – 16.11.2024
2024年11月16日 · Operesheni za uokoaji zaendelea baada ya jengo kuporomoka katika soko la Kariakoo. Picha: Yakub Talib/DW. Mtu mmoja ameripotiwa kufa na wengine kujeruhiwa baada …
Kuanguka kwa ghorofa Kariakoo: Tulimpuuza Lowassa
2024年11月17日 · TAKRIBANI majengo 100 ya ghorofa jijini Dar es Salaam, zilimejengwa kinyume cha taratibu za ujenzi, Bunge lilielezwa. Kwa mujibu wa ripoti iliyoundwa na aliyekuwa Waziri Mkuu na kujiuzulu, Edward Lowassa, kati ya ghorofa 505 ambazo zilikaguliwa, majengo 147 yamekutwa hayana nyaraka za ujenzi.
- 某些结果已被删除