
HISTORIA: Alichofanyiwa Zelensky Ikulu ya Marekani, Muingereza ...
2012年7月26日 · Waliamini hakuwezi kuwa na madhara makubwa sana kwasababu hata Marekani iliwahi kugombana na Nasser baada ya kuwashikilia Wasovieti kwenye ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme la Aswan (The Aswan High Dam). Masikini, hawa viongozi walichanga karata zao vibaya. Marekani alikuwa na malengo marefu na Misri kama ambavyo alikuwa na malengo na Israel.
Usaliti wanaopitia Ukraine na Ulaya kutoka kwa Marekani, …
2025年2月24日 · Jinsi ambavyo ghafla Marekani imembadilikia Ukraine na kutafuta suluhu na Russia hii inatukumbusha matukio matatu makubwa jinsi Marekani anavyoweza kubadilika kama kinyonga na kutokuunga mkono. Kabla ya WW2 Marekani ilikuwa ikiunga mkono Ujerumani. Wakati wa WW2, Marekani iliunga mkono USSR...
Mbunge wa Marekani athibitisha Marekani kupitia USAID kuwa …
2025年2月28日 · Ufichuzi wa Mbunge wa Marekani Scott Perry kwamba Shirika la Misaada ya Kimataifa la Marekani (USAID) limekuwa likifadhili kundi la kigaidi la Boko Haram nchini Nigeria uliibua hisia kali. Madai ya Perry yamegusa hisia kali nchini Nigeria, ambapo Boko Haram wameua zaidi ya watu 50,000 na kuwalazimu milioni 2.5 kukimbia, huku wengi wakilazimika ...
Kwanini Taifa la Marekani limebarikiwa sana kiuchumi na …
2025年3月7日 · Marekani inajulikana duniani kote kama taifa lenye nguvu kubwa kiuchumi na kiteknolojia. Moja ya sababu kuu zinazochangia mafanikio haya ni msingi imara wa Kikristo uliowekwa tangu kuanzishwa kwa taifa hilo. Ukristo umekuwa na nafasi muhimu katika kueneza maadili ya kumcha Mungu, ambayo yamekuwa chanzo cha maarifa na maendeleo.
Trump anataka Marekani, China na Urusi zipunguze nusu ya
2025年2月16日 · Huu ndio utamu wa kwenda naye kibabe Marekani. Marekani ni superpower kwa mataifa dhaifu ila sio kwa China na Urusi. Sasa hivi Marekani level yake ni kuyafokea mataifa ya Ulaya. Wiki hii mataifa ya Ulaya yamesemwa na kudhalilishwa na mawaziri wa Marekani. Alianza waziri wa ulinzi wa Marekani akaja waziri wa mambo wa nje wa Marekani.
Mgogoro wa Ukraine, Maseneta wa Marekani Wasema Trump Ni …
2010年10月19日 · Maneno mengine ya kejeli yaliyolalamikiwa na Wamarekani ni pamoja na Trump aliposema, 'fikiria a comedian anaongea na Serikali ya Marekani, halafu Marekani inakubali kutumia dola bilioni 350 kwenye vita ambayo Ukraine haiwezi kushinda, vita ambayo haikustahili kuwepo".
Maono: Mpaka uchaguzi ninaziona kama bilioni 5 hivi …
2025年3月6日 · Watz ni wepesi sana wa kusahau, na hii miamba ya tone-tone inajua hilo vizuri saaaana. Na inajua vizuri kuwa baada ya hatua kadhaa za kuzuga kupinga matokeo, plus kutoweka kwenda ulaya na Marekani; watz hawa watasahau kabisa kama kawaida yao. Hapo miamba itarejea tena na kuanzisha 'dondo-dondo' au 'ado-ado'.
Pigo kubwa kwa Brics: Saudi Arabia yaistukia Brics ... - JamiiForums
2025年2月11日 · Ufalme wa Saudi Arabia unasita kujiunga na BRICS kwani unahitaji uungwaji mkono wa Marekani na nchi nyingine za Magharibi ili kutimiza azma yake ya Dira ya 2030. Kukomesha utegemezi kwa Marekani kutaathiri tu matarajio yake ya kifedha na kusababisha mdororo wa kiuchumi.
Marekani yamfukuza mhusika wa Mauaji ya Kimbari ya Rwanda, …
2025年3月5日 · Katika taarifa, NPPA ilipongeza mamlaka za mahakama za Marekani kwa ushirikiano wao katika kuwafukuza wakimbizi waliokimbia mauaji ya halaiki na kujificha nje ya Rwanda. "NPPA inaipongeza Marekani kwa mchango wao katika mapambano dhidi ya wanaokwepa mkono wa sheria kwa kutoroka Rwanda," ilisema taarifa hiyo.
Marekani na Urusi watakutana Saudi Arabia. Ukraine na Ulaya ...
2011年1月1日 · Wanakaumbi. 🇺🇲🇷🇺 Marekani na Urusi zitaanza mazungumzo nchini Saudi Arabia ili kumaliza vita nchini Ukraine. Ukraine na Ulaya hazijaalikwa na hazitaulizwa maoni yao kwa sababu hakuna kinachowategemea. Wamefanya kazi yao kama "wajinga wa maana", na sasa wanaweza tu kutazama na kukaa kimya...