
Mjue mnyama fisi - JamiiForums
2018年5月20日 · - Fisi dume ni mnyama bwege anatawaliwa na jike lake. - Fisi ni kiumbe asiye na mbio za kasi. - Fisi hunguruma, hucheka pia hutoa milio mbali mbali inategemea na alipo, na hiyo huwa ni lugha wanayotumia kuwasiliana akifanya hivyo wenzie wakisikia wanajua tuu kuna jambo gani limemsibu mwenzao.
SIMIYU: Jeshi la Polisi lamkamata mtuhumiwa (mganga wa
2018年7月18日 · “Mganga huyo alieleza kuwa anamtumia fisi huyo katika shughuli za uganga wa jadi ikiwa ni pamoja na kumtumia kama chombo cha usafiri anapotaka kupaa angani,” imeeleza. Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Mamlaka za Wanyamapori imesema wanaendelea na uchunguzi na mara baada ya upelelezi kukamilika, mtuhumiwa atafikishwa mahakamani.
Kwanini simba mfalme wa nyika hawezi kumdhuru fisi?
2023年12月3日 · Wewe humjui simba. mara nyingi ukiona simba katimka mbio, jua pale kuna fisi sio chini ya 10, ila ukiona wawili watatu wanne, simba huwa anahakikisha kaua sio chini ya mmoja. simba akiua mnyama, fisi akitokea huwa anaacha hadi msosi anamfukuza fisi hadi amuue ndio arudi kula. mnyama pekee mwenye uwezo wa kumshinda simba, wa kwanza ni binadamu, na wa pili ni Tiger. na tiger ni kwasababu umbile ...
Sifa 10 kutoka za Mnyama Fisi - JamiiForums
2015年6月13日 · 1. Kicheko ambacho fisi hutoa huweza pelekea kujua umri wa fisi huyo. 2.Fisi ni wanyama wenye ushirikiano sana,ukimchokoza mmoja unakuwa umenunua ugomvi wa familia nzimaa,apo akitoka anaenda Kuita kundi wanakuja kama wotee kukabiliana na wewe. 3.Ni mnyama ambae hujali sana watoto wake na...
Kwanini fisi tu ndo hutumiwa na washirikina kama chombo
2017年4月1日 · Mnyama fisi ana majukumu mengi sana yaliyopitiliza. Wachawi wanampenda sana fisi hasa kama chombo cha usafiri. Katu hawatumii wanyama wengine kama simba, mbweha, ng'ombe, punda n.k! Kwanini wanamtumia fisi tu kwenye safari zao za ndani na nje ya nchi ? Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani naomba nifahamishwe hivi ni kweli kuhusu haya
2021年10月5日 · Siyo mwandishi mzuri lakini nafikiri tutaelewana fisi ni moja Kati ya wanyama ambao ni wakorofi Sana siyo porini pekee hata wakiingia mtaani Moto lazima uwake. Kuna story ambazo nazikia .mara nyingi Sana kuhusu fisi watu wanasema mnyama huyu anajinsia mbili yaani jinsia ya kike na kiume na...
Songombingo ya uke wa fisi - JamiiForums
2011年12月18日 · Mapenzi yangu kwa fisi yanatokana na mengi sana, moja likiwa ni ukweli kua fisi ni mnyama pekee mwenye kinga madhubuti dhidi ya magonjwa inayompa jeuri ya kula mizoga bila kuugua kizembezembe. Na haikua ajabu sana wakati wanyama wengi wala nyama yaani carnivores walipokumbwa na magonjwa (Canine) miaka ya …
Maajabu na vituko vya mnyama fisi | Page 7 - JamiiForums
2017年5月18日 · Evolution of Hyena! Nikiwa mdogo, nasimuliwa na kusikia kuwa fisi ni waoga sasa leo, naona sayansi mpya!? Wanakula kwa fujo, ila hawajipaki damu duuuh. Inabidi niende porini kucheki hii bongo movie mpya mwenyewe.
Maajabu na vituko vya mnyama fisi | Page 3 - JamiiForums
2017年5月17日 · Yaani umeandika kipropaganda kama vile na wewe unatamani kuwa fisi! Hahahaha. Forums. New Posts Search forums.
Maajabu na vituko vya mnyama fisi - JamiiForums
2017年5月16日 · Bila kupoteza dakika leo naomba nikuonjeshe sifa za mnyama fisi kwa kadri inavyowezekan: (i)Ugomvi na mmoja wao umenunua ugomvi wa familia nzima.