
Luka 10:13-37 “Ole wako Korazini! Ole wako Bethsaida! Maana, …
Ole wako Bethsaida! Maana, kama miujiza iliyofanyika kwenu ingalifanyika kule Tiro na Sidoni, watu wake wangalikwisha vaa mavazi ya gunia kitambo na kukaa katika majivu kutubu. Hata hivyo, siku ya hukumu nyinyi mtapata adhabu kubwa kuliko ya Tiro na Sidoni.
Isaya 33:1-9 Ole wako uharibuye ila hukuharibiwa, utendaye hila …
Ole wako uharibuye ila hukuharibiwa, utendaye hila wala hukutendwa hila! Utakapokwisha kuharibu, utaharibiwa wewe; na utakapokwisha kutenda kwa hila, wao watakutenda hila wewe. Ee BWANA, uturehemu; tumekungoja wewe; uwe wewe mkono wetu kila asububi, na wokovu wetu pia wakati wa taabu.
Ole wako in English with contextual examples - MyMemory
Contextual translation of "ole wako" into English. Human translations with examples: mana, his w, woe to you, "ah! woe is me!.
Luka 10 Swahili NT - Bible Hub
13 Ole wako Korazini! Ole wako Bethsaida! Maana, kama miujiza iliyofanyika kwenu ingalifanyika kule Tiro na Sidoni, watu wake wangalikwishavaa mavazi ya gunia kitambo, na kukaa katika majivu kuonyesha kwamba wametubu. 14 Hata hivyo, Siku ya Hukumu ninyi mtapata adhabu kubwa zaidi kuliko ile ya watu wa Tiro na Sidoni.
Isaiah-33: Kiswahili Biblia - Agano la kale
Ole wako uharibuye ila hukuharibiwa, utendaye hila wala hukutendwa hila! Utakapokwisha kuharibu, utaharibiwa wewe; na utakapokwisha kutenda kwa hila, wao watakutenda hila wewe. 2 Ee Bwana, uturehemu; tumekungoja wewe; uwe wewe mkono wetu kila asubuhi, na wokovu wetu pia wakati wa taabu.
Luka-10: Kiswahili Biblia - ワードプロジェクト (Wordproject)
Ole wako, Bethsaida! Kwa kuwa kama miujiza hiyo iliyofanyika kwenu ingalifanyika katika Tiro na Sidoni, wangalitubu tangu hapo, huku wakiketi katika nguo za kigunia na majivu. 14 Lakini, siku ya hukumu itakuwa rahisi Tiro na Sidoni kustahimili adhabu zake kuliko ninyi.
Luka 10:13-21 Ole wako Korazini! Ole wako, Bethsaida! Kwa kuwa …
Ole wako, Bethsaida! Kwa kuwa kama miujiza hiyo iliyofanyika kwenu ingalifanyika katika Tiro na Sidoni, wangalitubu tangu hapo, huku wakikaa katika nguo za magunia na majivu. Lakini, siku ya hukumu itakuwa rahisi Tiro na Sidoni kustahimili adhabu zake kuliko ninyi.
Amin Amin Nawaambia | Sauti za Kuimba - Gafkosoft
Ole wangu, ole wako, umsalitiye Bwana Ingekuwa heri kwetu tusingelizaliwa *2; Twaeni mle mwili wangu, uwe ukumbusho Twaeni mnywe damu yangu, iwe ukumbusho Nitampiga mchungaji wa kondoo oo Na kondoo wa kundi lake watatawanyika*2; Amini, amini na kutubu, enyi mataifa Amini, amini na kutubu, turudi kwa Bwana Ole wangu, ole wako, umsalitiye Bwana
Isaya 33:1 SUV - Ole wako uharibuye ila hukuharibiwa, utendaye …
Aya Isaya 33:1 Ole wako uharibuye ila hukuharibiwa, utendaye hila wala hukutendwa hila! Utakapokwisha kuharibu, utaharibiwa wewe; na utakapokwisha kutenda kwa hila, wao watakutenda hila wewe.- Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Ole Wako - YouTube
2023年12月1日 · Provided to YouTube by Ditto MusicOle Wako · HEAVENLY ECHOES MINISTERSOle Wako℗ HEAVENLY ECHOES MINISTERSReleased on: 2023-12-02Auto-generated by YouTube.