
Pamba Day imeanza kunoga jijini Mwanza - YouTube
2024年8月10日 · Kumekucha jijini Mwanza na shamrashamra za #PambaDay zimeanza mapema zaidi.Mwenyekiti Kamati ya Maandalizi, Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Amina Makilagi anazu...
UZINDUZI WA PAMBA DAY TAZAMA ULIVYOFANYIKA - YouTube
Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter ka...
PAMBA DAY | George Mpole alivyotambulishwa Pamba Jiji FC
2024年8月10日 · Straika wa zamani wa Geita Gold, George Mpole ametambulishwa rasmi katika kikosi cha Pamba Jiji FC akitokea St. Loui Lupopo ya DR Congo..... ...more. Ni katika tamasha kubwa la Pamba Day...
President Samia’s 60m/- boost for Pamba Day praised
2024年8月12日 · MWANZA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has been praised for her generous support of Pamba Day, a colourful event held at CCM Kirumba Stadium in Mwanza over the weekend. President Suluhu contributed 60m/- to enhance the festival, underscoring her commitment to advancing sports in the country.
Uuzwaji tiketi za Pamba Day wazinduliwa rasmi | Nipashe
2025年3月31日 · Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda akizindua uuzaji wa tiketi kwa ajili ya tamasha la Pamba Day. Mtanda amesema Pamba Jiji ni mali ya wadau kila mmoja ana haki ya kuipigania hata kwa matambiko na maombi ili timu ifanye …
KAMPENI YA PAMBA DAY YAZIDI KUPAMBA MOTO,TAWI LA …
2024年8月2日 · Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya siku inayosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka Jijini Mwanza,Pamba Day,kampeni yake imezidi kuwabamba mashabiki baada ya kufunguliwa tawi jipya huko Buchosa wilayani Sengerema Mkoani Mwanza.
Harmonize kutumbuiza Pamba Day Agosti 10 | East Africa …
2024年7月22日 · Tamasha la siku ya Pamba linatarajiwa kufanyika agosti 10, 2024 kwenye uwanja wa CCM Kirumba na wasanii mbalimbali watokanao na Mkoa wa Mwanza watatumbuiza wakiongozwa na Fid Q pamoja na wakubwa wa nje ya Mkoa wakiongozwa na …
PAMBA JIJI FC WAZINDUA UUZAJI WA TIKETI KUELEKEA TAMASHA LA PAMBA DAY
2024年7月22日 · Kuelekea kwenye tamasha la Pamba Day litakalofanyika Agosti 10, 2024 katika uwanja wa CCM kirumba Timu ya Pamba Jiji imezindua uuzaji wa tiketi za kuingilia kwenye tamasha hilo. Uzinduzi huo umefanyika leo Julai 22, 2024 katika uwanja wa michezo wa Nyamagana Jijini Mwanza.
PAMBA DAY
PAMBA DAY. Wednesday 19th, February 2025 @CCM KIRUMBA. PAMBA JIJI FC VS VITALO'O. Matangazo ya Kawaida. JITOKEZE KUJIANDIKISHA October 16, 2024; TANGAZO LA UPANGISHAJI WA MAENEO YA BIASHARA KATIKA SOKO KUU December 14, 2024; TANGAZO LA ...
PAMBA JIJI WAZINDUA UUZAJI TIKETI KUELEKEA PAMBA DAY …
MKUU wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda, amewataka mashabiki na wapenzi wa Timu ya Pamba Jiji kununua tiketi za kuingilia kwenye Tamasha la Pamba Day itakayofanyika Agosti 10 mwaka huu ili kuwahi nafasi kabla hazijajaa.