
Karia anakaribia umakamu CAF | Mwananchi
2025年3月17日 · Ni Rais wa muda mrefu wa chama cha soka cha Sudan, aliingia CAF mwaka 2023, akimshinda Moses Magogo wa Uganda ambaye alimshinda Leodger Tenga wa Tanzania mwaka 2017. Mutasim Gafar Sirelkhatim alikuwa Rais wa CECAFA kabla ya kumpisha Wallace Karia mwaka 2019, Karia alipita bila kupingwa baada ya Mutasim Gafar Sirelkhatim kutogombea.
Motsepe achaguliwa tena Urais CAF - Maulid Kitenge
2025年3月12日 · Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) Dkt. Patrice Motsepe amechaguliwa tena kuwa Rais wa shirikisho hilo kwa kipindi cha miaka minne ijayo. Motsepe ambaye amekuwa Rais wa shirikisho hilo tangu mwaka 2021, sasa atasalia katika kiti hicho mpaka mwaka 2029 kwa awamu ya pili mfululizo.
KILAAINIIII…HIVI NDIVYO KARIA ALIVYOPATA UBOSI MPYA CAF LEO
2025年3月12日 · Karia ameshinda kwa kura nyingi za ndio kwa vile alikuwa mgombea pekee wa nafasi hiyo kuwakilisha kanda ya soka ya Baraza la vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (Cecafa). Ushindi huo wa Karia umeshuhudiwa na viongozi kadhaa wa soka Tanzania ambao wameambatana na Rais huyo wa TFF katika ujumbe wake alioongozana nao huko Misri.
Rais CAF amaliza utata bao la Aziz KI, Mamelodi - Mwananchi
2024年5月24日 · Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) Patrice Motsepe amesema bao la kiungo mshambuliaji wa Yanga Stephanie Aziz KI dhidi ya Mamelodi Sundowns lilikuwa halali. Motsepe ameyasema hayo leo akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume wakati akizungumza na Waandishi wa habari mara baada ya kuwasili Visiwani Zanzibar.
RAIS WA CAF MOTSEPE AWAONGEZEA RUZUKU TFF NA CECAFA
RAIS wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) Dk. Patrice Motsepe ameongeza ruzuku kwa Vyama na Mashirikisho ya Soka Wanachama wake kutoka dola za Kimarekani 250 00 hadi 400 000 kwa mwaka. Rais huyo wa CAF raia wa Afrika Kusini pia amepandisha dau la ruzuku za Mashirikisho na Vyama vya soka vya Kanda za Afrika kutoka dola 450,000 hadi dola 750,000 ...
Rais Caf kufanya ziara ya siku moja Dar kesho | Mwanaspoti
2024年12月18日 · Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (Caf), Dokta. Patrice Motsepe, atazuru Tanzania, Kenya na Uganda - mataifa matatu ambayo yatakuwa mwenyeji wa Michuano ya Chan mwakani 2025. Ziara ya Motsepe katika mataifa matatu mwenyeji inaanza kesho Alhamisi asubuhi, Desemba 19, 2024 jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Karia aula CAF, Motsepe minne tena Urais | Mwananchi
2025年3月12日 · Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameibuka mshindi wa kiti cha ujumbe wa kamati ya utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) katika uchaguzi mkuu wa shirikisho hilo unaofanyika leo huko Cairo, Misri.
CAF yatangaza tarehe ya CHAN 2024 kufanyika Tanzania
2024年9月18日 · Hatimaye Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limetangaza tarehe za michuano ya TotalEnergies African Nations Championship (CHAN) 2025 itakayofanyika Tanzania, Kenya na Uganda.
Rais wa CAF Dkt. Patrice Motsepe na akizungumza baada ya …
2025年1月28日 · Patrice Motsepe na akizungumza baada ya kusaini mkataba na TotalEnergies wa ongezeko la miaka minne mpaka 2028. CAF_Media. Motsepe is one of south Africa people knew our solidarity is not like exdent. Tanzania we was sucriface the great deal to help them for independence. Now we focus for only successful for every sector.
CAF yaisogeza mbele michuano ya CHAN 2024 : Nijuze Habari Blog
2025年1月14日 · Rais wa CAF Patrice Motsepe amesema kuwa “Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa Rais William Ruto wa Kenya, Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania na Rais Yoweri Museveni wa Uganda kwa uongozi wao, kujitolea na hatua kubwa iliyofikiwa katika ujenzi na uboreshaji wa viwanja, viwanja vya mazoezi, hoteli, hospitali na miundombinu na vifaa ...
- 某些结果已被删除