
Mwanzo - TRC
Kuhusu SGR. SRG ni nini? SRG ni ufupisho wa neno la kiingereza “Standard Gauge Railway”. Ni reli ya kisasa yenye upana wa mita 1.435, na inayopatikana duniani kote kwa zaidi ya asilimia hamsini na tano (55%). Tofauti na reli ya kawaida, reli hii inaweza kusafirisha uzito mkubwa na kusafiri kwa mwendo kasi. TANZANIA NA SGR
Nauli ya Treni ya Umeme ya SGR Dar to Dodoma 2025
2025年2月26日 · Jua bei kamili za treni ya umeme ya SGR kutoka Dar hadi Dodoma 2025. Maelezo ya nauli, jinsi ya kuhifadhi tiketi, na faida za kifedha na kimazingira za huduma hii mpya ya kisasa. Mradi wa Standard Gauge Railway (SGR) nchini Tanzania umeendelea kuwa mwanzo wa mageuzi katika sekta ya usafiri.
MRADI WA SGR UTAKAVYOINUFAISHA TANZANIA,RAIS SAMIA …
2024年8月1日 · Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua rasmi Mradi wa Mkakati wa Treni ya Umeme SGR Dar es Salaam-Dodoma leo. Mradi huu wa SGR ya Tanzania ulisanifiwa na kujengwa (designed & built) kwa viwango vya a juu zaidi (kwa maana ya uwezo wa kuhimili mizigo inayopitishwa kwenye reli (Axle load of rolling stock).
SGR, historia iliyoleta matumaini mapya usafiri wa reli
2024年12月13日 · Serikali kupitia TRC katika kukabiliana na changamoto hizo, ilianza na inaendelea kutekeleza mradi wa reli ya kisasa ya umeme (SGR). SGR tofauti na MGR, ni suluhisho la muda mrefu la kuboresha usafiri, kuimarisha usafirishaji wa mizigo na kusaidia juhudi za kukuza uchumi wa Taifa.
Leo, watanzania tunajivunja kuzindua rasmi sehemu ya kwanza ya reli ya kisasa ya Standard Gauge Railway (SGR) chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Mradi huu tuliousubiri kwa hamu ni hatua muhimu katika mabadiliko ya miundombinu ya usafiri nchini, ukiwa na uwezo wa kubadilisha uchumi na kuboresha maisha ya Watanzania.
Miezi mitano ya mradi wa treni ya kisasa Tanzania – DW – …
2025年1月23日 · Huko nchini Tanzania ikiwa takribani miezi mitano imepita tangu kuanza kwa shughuli za usafirishaji abiria katika treni ya mwendo kasi ya umeme ya SGR kutoka jiji la kibiashara Dar es salaam hadi...
Wabunge watoa kauli hujuma SGR | Mwananchi
2024年11月9日 · Wabunge wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge za Miundombinu na Bajeti wametembelea mradi wa SGR, waeleza mbinu kukabili hujuma. Dar es Salaam. Wabunge wameliagiza Shirika la Reli Tanzania (TRC), kufunga kamera za ulinzi mara moja maeneo yote ya reli ili kukabiliana na watu wanaohujumu miundombinu ya treni ya kisasa ya umeme (SGR).
KADOGOSA AFUNGUKA UJENZI WA SGR "HAIJAJAKUCHUKUA …
DAR ES SALAAM: Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema lengo la kuanzisha mradi wa Reli ya kisasa ya umeme (SGR) ni kuwapa wananchi uhuru wa kuchagua usafiri...
Nauli Za Treni ya Umeme SGR 2025/2026 - wazaelimu.net
Usafiri wa Treni ya Kisasa (SGR) unatarajiwa kuleta mapinduzi makubwa Tanzania. Dar es Salaam – Dodoma: Kwa safari ndefu zaidi, nauli zinatofautiana kulingana na daraja la usafiri: NAULI YA TRENI SGR asubuhi ni shilingi 40000 na 31000 jioni. Hata hivyo, kufikia 2025, mabadiliko yanaweza kutokea kutokana na:
Je wajua athari za kuchelewa kukamilika kwa reli ya SGR Tanzania …
2022年1月19日 · Kukamilika kwa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) nchini Tanzania ni jambo linalongojewa kwa hamu na watanzania pamoja na nchi jirani zitakazonufaika na ujenzi wake. Ni reli yenye upana wa mita...