
DOKEZO - Aibu UDSM kiajiri wahitimu isiwalipe - JamiiForums
2024年7月19日 · Katika miaka ya hivi karibuni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimekuwa kikichukua wanafunzi wanaofanya vizuri kitaaluma wahitimu kubaki kusaidia shughuli za kitaaluma (TAs). Cha kusikitisha vijana Hawa Chuo huwatekeza bila mikataba wala malipo. Kwa mfano, vijana wengi waliohitimu mwaka 2024 na...
Aibu UDSM kiajiri wahitimu isiwalipe | Page 2 - JamiiForums
2020年4月26日 · Hivi, UDSM inafikiri wanaishije vijana Hawa? Mnawaingiza katika matatizo makubwa ya maisha na pia kutowalipa wala kuwapa mikataba ni ukiukwaji wa sheria ya Kazi na Mahusiano kazini. UDSM Angalieni hili muwasaidie Hawa vijana
KERO - Supervisors wa Wanafunzi wa Masters - UDSM ni kero
2024年12月3日 · Uongozi wa UDSM unafanya hivyo kwa kuwa hauambiwi ukweli kuwa asilimia kubwa wanaosababisha Wanafunzi wanashindwa kukamilisha tafiti zao ndani ya muda ni Supervisors. Supervisors wanajiona kama Miungu watu, kwanza unapopewa akusimamie picha linaanza kuja kumpata ni unatakiwa kuacha kazi upate kazi ya kumtafuta yeye.
UDSM-Law First Classes - JamiiForums
2012年12月27日 · Mimi UDSM nimesoma BCom ambako kila mwaka lazima First Class zitoke. Sheria tatizo ni watu kutokukubali historia zao kufutwa! I don't believe that Kabudi is the best lawyer this country has ever had! Yes is good but is not the best. Wanafunzi wa UDSM hawa wanaotoka na Pass, Lower Second wanaonekana ni wazuri kuliko First Class wa vyuo vingi tu.
Seneti ya UDSM mliliangalia jambo hili wakati wa ... - JamiiForums
2023年10月17日 · Wasimamizi wa Tafiti Moja ya changamoto iliopo UDSM na vyuo vikuu vingi vya Tanzania kipindi cha miaka nyuma nafasi ya supervisor .Mwanafunzi anamtumia supervisor kazi , anafatilia mpaka anachoka,kazi inakaa kwa supervisor miezi 2 haipitii huku muda unaenda na akiirudisha karibu kitabu kizima kimechorwa yaani comment (Kuanzia Title, Introduction, problem statement hadi Methodology).
Natafuta nafasi ya Internship with (BA. In Economics) kutoka UDSM
2025年3月5日 · Habari zenu wana JF. Mimi ni binti wa kitanzania mwenye umri wa miaka Ishirini na tatu. Ni fresh graduate mwenye shahada ya Uchumi yaani (BA in Economics) kutoka University of Dar es salaam. Niko hapa kuwaomba mnisaidie nafasi ya Internship kwa wenye kampuni, connection au mnaofahamu mahali...
KERO - Ukiukwaji wa Haki za wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es …
2024年5月24日 · Naitwa Abdul-Aziz Ally Carter, Mwanafunzi wa Mwaka wa 3 chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) nasomea Historia na sayansi ya siasa, namba yangu ya usajili 2021-04-01016 Siku za karibuni nimekuwa active katika harakati za chuo hasa kupigania maslahi ya wanafunzi waliozuiliwa kuingia katika mitihani kwa kushindwa kulipia Ada na kucheleweshwa kwa ...
UDSM kuwa Form 10 Jibuni hoja za jenerali Ulimwengu
2011年12月23日 · Prof Benson bana,kipindi akiwa UDSM, alikuwa anatoa mawazo ya kukosoa Sana serikali, akawaona wenzie, Kitila, kabudi wanaosifia wamelamba dume!akaanza kusifia,sasa hv ni balozi wetu nigeria, ye ye ni academician,sio diplomatic, kule kaenda kula bata tu
UDSM kwa sasa ni cha kata, imebaki historia tu - JamiiForums
2021年1月28日 · Udsm ni chuo kilichokuwa kimejipambanua miaka hiyo kama chuo bora kabisa katika ukanda huu wa maziwa makuu na afrika kwa ujumla kwa kuzalisha viongozi na wasomi mahili katika nyanja ya siasa, uchumi, na sheria. Sifa hiyo ilikijengea chuo uimara na kukifanya kiwe chuo bora afrika mashariki na...
TANZIA - Prof. Mathew Luhanga, aliyekuwa Makamu Mkuu wa …
2012年6月27日 · Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. William Anangisye anasikitika kutangaza kifo cha PROF. MATTHEW LUHANGA, aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuanzia 1991 hadi 2006, kilichotokea jioni ya leo tarehe 16.09. 2021. Tunatoa pole kwa familia, Chuo chetu na Tanzania...