
Viwanda
Malighafi zinazotumika kuzalisha vioo zaidi ya asilimia 80 zinapatikana nchini ikiwa ni pamoja na dolomite, silca sand, limestone, feldspar pamoja na magadi soda yanayopatikana Engaruka.
MAKAMU WA RAIS DKT.MPANGO AZINDUA VIWANDA VYA …
2022年1月8日 · Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo tarehe 8 Januari 2021 amezindua Viwanda vya Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) eneo la Mtoni KVZ Wilaya ya Magharibi A Unguja. Viwanda vilivyozinduliwa na Makamu wa Rais ni kiwanda cha ushoni na kiwanda cha Viatu.
Orodha ya Viwanda 20 mkoa wa Pwani - Kazi Forums
2024年9月22日 · Orodha ya Viwanda 20 mkoa wa Pwani, Mkoa wa Pwani ni moja ya mikoa yenye maendeleo makubwa katika sekta ya viwanda nchini Tanzania. Uwekezaji katika viwanda umechangia pakubwa katika ukuaji wa uchumi wa eneo hili, huku ukitoa ajira nyingi kwa wakazi.
kukopesha viwanda vyetu kwa gharama nafuu, vitaweza kabisa kuongeza uzalishaji, ajira na kufanya maisha ya Wazanzibari kuwa bora zaidi. Vilevile, napenda kuwaelekeza Viongozi wa Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda na Wakala kwa Maendeleo ya Viwanda Vidogo na vya Kati (SMIDA),
MBUNGE TAUHIDA ATEMBELEA VIWANDA VYA NGUO NA VIATU KVZ
2024年7月17日 · Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi Zanzibar Mhe Tauhida Gallos ametembelea Viwanda vya Ushonaji nguo na Viatu vilivyopo Idara Maalum ya SMZ kambia ya Kvz Mtoni na kujionea namna kinavyojiendesha.
Orodha Ya Viwanda 20 Vikubwa Tanzania - Kazi Forums
2024年9月22日 · Viwanda hivi vina mchango mkubwa katika uchumi wa Tanzania kwa njia zifuatazo: Ajira : Viwanda vikubwa vinatoa ajira kwa maelfu ya watu, hivyo kusaidia kupunguza kiwango cha ukosefu wa ajira nchini. Uzalishaji : Vinazalisha bidhaa nyingi zinazohitajika ndani ya nchi, hivyo kupunguza utegemezi kwa bidhaa kutoka nje.
HABARI PICHA:Makamu wa Rais Dr Mpango mgeni rasmi katika …
2022年1月10日 · Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk,Philip Izdori Mpango akikata Utepe kuashiria Uzinduzi wa Viwanda vya Idara Maalum za SMZ (Kiwanda cha Nguo na Kiwanda cha Viatu) ndani ya makao makuu ya Kikosi cha Valantia (KVZ)Mtoni Zanzibar.Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Serikali kufanya sensa ya uzalishaji viwandani Machi 2025
2025年2月4日 · Serikali ya Tanzania imetangaza kufanyika kwa Sensa ya Uzalishaji Viwandani kwa Mwaka wa Rejea 2023 mwezi Machi 2025. Sensa hiyo, ambayo ni ya kwanza kufanyika kwa pamoja Tanzania bara na Zanzibar tangu mwaka 1964, inatarajiwa kutoa taarifa za kina za kitakwimu zitakazosaidia kuboresha sera na mipango ya maendeleo ya sekta ya viwanda nchini.
ASHATU K. KIJAJI (MB.), WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2024/2025. Rais wa Jamhuri va Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Viongozi wengine akiwemo Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt.
MIT | Habari - viwanda.go.tz
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe.Exaud Kigahe (Mb) ameziagiza Taasisi za Serikali Nchini kuhakikisha wanajenga mazingira wezeshi kwa wawekezaji wa ndani na nje ya Nchi ili waweze kuzalisha bidhaa bora zitakazohimili ushindani katika soko la Jumuia ya Afrika Mashariki na nje ya Afrika.
- 某些结果已被删除