
Pre GE2025 - CCM waweka ukomo nafasi za ubunge na udiwani …
2025年3月11日 · Ukomo wa viti maalum Kuweka ukomo wa vipindi viwili vya miaka mitano kwa nafasi za ubunge/uwakilishi na udiwani wa viti maalum wanawake. Ukomo huo utaanza kutumika katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2030. Vilevile, Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa imepitisha Kauli Mbiu rasmi kwa ajili ya kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2025 isemayo;
Kama mlikuwa hamjui: CCM imeliongoza hili Taifa kwa uongo …
2025年3月9日 · Kwa wale msiofahamu hakuna Chama cha siasa Afrika hii na nadhani duniani kinachoishi kwa uongo kama CCM. Na uongo wa CCM haujaanza leo, ulianza tangu ikiwa TANU na uliasisiwa na aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Tanganyika na Tanzania , …
Pre GE2025 - JamiiForums
2025年3月16日 · Pre GE2025 Aliyepinga Samia na Nchimbi kupitishwa kama wagombea Urais CCM, apeleka shauri lake mahakamani kupinga ukiukwaji wa Katiba
Tusipozinduka, CCM tutaishiwa Pumzi mapema! - JamiiForums
2016年5月4日 · Kauli ya Mwenezi CCM Taifa, Comrade CPA Amos Makalla kwamba Chadema wanakusanya Pesa ili wanunue virusi vya Ebola na M-Pox kusambaza Tanzania na kuzuia Uchaguzi usifanyike, ni dhahiri Nafasi hiyo imeanza kumpwaya. Na hii ni kufuatia Kampeni ya Chadema inayoendelea ya "No Reforms, No Election"...
Pre GE2025 - DSM - Amos Makalla: Lissu na wenzako
2024年5月16日 · Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CРА Amos Makalla amesema kuelekea katika uchaguzi mkuu, CCM inaamini imeshafanya reforms za kutosha, hivyo amemshauri Tundu Lissu na wenzake pia wakafanye reforms zao. Amesema wapinzani wanasema CCM ndiyo...
Pre GE2025 - JamiiForums
2020年3月8日 · Nimebubujikwa na machozi ya shangwe kupata ujumbe wa simu wa Mwenyekiti wa CCM kujikumbusha kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura Wadau hamjamboni nyote? Kwangu Mimi niheshima kubwa sana na nimebubujikwa na machozi ya furaha na shangwe baada ya kupokea ujumbe wa sms kutoka...
Ubaguzi wa rangi unarudi: CCM, Makalla na mzee Wassira
2025年3月20日 · Sikutegemea kuona tangazo linalo akisia kurudi kwa ubaguzi wa rangi, miaka 64 baada ya uhuru. Tangazo linalotembea mitandaoni linasoma ubaguzi. ASIANS AND ARABS ONLY NEED APPLY. Haya ni matusi kwa CCM.
Pre GE2025 - Ushauri kwa walimu wenzangu: uchaguzi 2025 …
2025年3月22日 · Miaka mingi tumekuwa tukifanywa mawakala wa Nec kwenye chaguzi. (Wasimamizi) na tumekuwa tukitumika kama kondomu . Huku tukificha maovu na ujanja ujanja wa CCM. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
Pre GE2025 - Professor Jay: Watanzania kumshambulia AY
2025年3月12日 · Pre GE2025 Professor Jay: Watanzania kumshambulia AY kwa kuonekana kwenye majukwaa ya CCM sio sawa. Wasanii wengi pia wapo CHADEMA
Pre GE2025 - DSM - Kigamboni: Mwana CCM Habib Mchange …
2022年8月29日 · Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imemkamata mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Habibu Mchange kwa tuhuma za rushwa inayohusishwa na uteuzi wa ndani ya chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu. Mkuu wa TAKUKURU kanda ya Temeke, Joseph Makungu amesema...