
Chama Cha Mapinduzi -CCM
CCM ni Chama chenye mlengo wa sera za ujamaa na kujitegemea ... Malengo na madhumuni ya CCM ni haya yafuatayo ... KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na familia ya aliyekuwa Katibu wa CCM Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro, Bi.
Chama Cha Mapinduzi -CCM
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Afrika ya Kusini, Mzee Thabo Mbeki akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi walipokutana Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek, nchini Namibia, mara baada ya mazishi ya Rais wa Kwanza wa Namibia na Baba wa Taifa hilo, Dkt.
PICHA: Mwenyekiti wa CCM Taifa Cde Dkt Samia Suluhu
2025年3月10日 · Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), leo tarehe 10 Machi 2025, jijini Dodoma. Uchawa ni ugonjwa, sasa kikao cha kawaida kina mafanikio gani? Mbona hatumuoni wa kusinzia Leo?
Picha: Matukio mbalimbali ziara ya Wasira Kishapu - HabariLeo
3 天之前 · Mkutano huo ni sehemu ya ziara yake ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025 na kusikiliza changamoto za wananchi pamoja na kuhutubia mikutano ya hadhara mkoani Shinyanga. Advertisement ... Na Picha na Ofisi ya Bunge. Agosti 18, 2021. Picha; Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia Mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa ...
CCM YAADHIMISHA MIAKA 48 KWA KISHINDO, SAMIA, NCHIMBI …
2025年2月5日 · Sherehe hizi za kihistoria zimeacha hisia za matumaini makubwa kwa wanachama wa CCM, huku chama hicho kikijiandaa kuingia katika uchaguzi mkuu kwa kishindo na kuendelea kushika hatamu za uongozi nchini. Picha za matukio mbalimbali ya maadhimisho ya miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) yaliofanyika leo Februri 5, 2025 Mkoani Dodoma.
LIVE: Dodoma ya kijani mkutano mkuu CCM | Mwananchi
2025年1月18日 · Kumekucha Dodoma ndivyo unaweza kuelezea jiji hili kwa sasa wakati huu Chama cha Mapinduzi (CCM) kikifanya mkutano mkuu wake. Mitaa mbalimbali ya Jiji la Dodoma imepambwa kwa bendera za CCM na picha za mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan.
Picha: Matukio mbalimbali ziara ya Wasira Kahama - HabariLeo
4 天之前 · SHINYANGA; Matukio mbalimbali kwenye mkutano wa hadhara wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira mjini Kahama mkoani Shinyanga Machi 27, 2025. Sehemu ya umati wa wananchi waliojitokeza kwenye mkutano huo. Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, …
#PICHA: Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) …
2025年2月25日 · Stephen Wasira, akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu, Mhe. Frederick Tluway Sumaye, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Jijini Dar Es Salaam, baada ya kiongozi huyo, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM mstaafu, kumtembelea Ofisini …
Dodoma kimewaka, CCM wanajambo lao | Mwananchi
2025年1月17日 · Mitaa mbalimbali ya Jiji la Dodoma imepambwa kwa bendera za CCM na picha za mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan.
WAZIRI MKUU MGENI RASMI MKUTANO MKUU WA CCM JIMBO …
2025年2月16日 · Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi alipowasili kwenye Uwanja wa Nguzo Nane wilayani Maswa ambapo alikuwa Mgeni Rasmi katika Mkutano wa Mkuu wa CCM Jimbo la Maswa Mashariki Mkoani Simiyu, Februari 16, 2025 .