
Akaunti ya Hundi ya Fahari Kilimo | CRDB Bank PLC
Fahari Kilimo Current Account in a weza kusajiliwa kupitia App ya SimBanking. Access to the CRDB Bank credit facilities tailored for agri business ventures. Signatories must be 18 years and above with NIDA ID/VEO/WEO Letter. (VEO/WEO Letter ONLY in the absence of NIDA ID)
Rahisisha miamala yako na Akaunti ya Hundi | CRDB Bank PLC
Tunafahamu una matarajio na ndoto zako, hivyo Akaunti yetu ya Hundi itakupa njia rahisi ya kushughulikia miamala ili kufanikisha ndoto na mipango yako. Akaunti ya Hundi ya Benki ya CRDB inakidhi mahitaji yako ya kila siku ya kibenki.
Fungua Akaunti Yako ya Benki Inayokufaa
Hii ni Akaunti ya akiba inayowezesha malipo yako ya mshahara kutoka kwa mwajiri wako ambaye ni kampuni au taasisi na ni mteja wa CRDB Bank. Akaunti maalum kwa ajili ya vikundi inayorahisisha ukusanyaji na usimamizi wa michango ya kikundi. Pia kikundi kinakuwa na uhakika juu ya usalama wa michango ya kikundi.
CRDB bank huduma kwa wateja phone number (Customer Care)
2025年3月10日 · Pia, CRDB inahimiza wateja kuripoti tabia yoyote isiyo ya maadili inayofanywa na wafanyakazi wake. Unaweza kutoa taarifa kupitia nambari ya bure 0800 757 700 kwa Tanzania au +27 31 571 8971 kwa Burundi .
CRDB Bank Plc - Je, unafahamu tofauti kati ya akaunti ya
2016年1月18日 · Hujawahi kukosa kuwemo kwenye ufalme wa Benki ya CRDB uliosheheni huduma zinazokufaa Swahiba. Usiache kututembelea tawini, kwa mawakala wetu kupata akaunti zinazokufaa. Je, unafahamu tofauti kati ya akaunti ya Akiba yaani Savings Account na Akaunti ya Hundi yaani Current Account?
CRDB Bank Plc - Akaunti ya Hundi: Hii Akaunti inakupa... - Facebook
Akaunti ya Hundi: Hii Akaunti inakupa uhuru wa kuendesha mahitaji yako ya benki ya kila siku na wadau wako na inakufanya ufurahie wepesi wa kuchukua fedha kutoka katika matawi yalioenea nchi nzima. #HundiAccount
Akaunti ya Biashara - CRDB Bank
Akaunti ya Biashara ya CRDB ni akaunti mahususi ya hundi kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo na wa kati wanaofanya biashara kama mtu mmoja mmoja, kampuni, taasisi au vikundi vilivyosajiliwa. Akaunti hii husaidia wateja wetu kuweka akiba zao za biashara na kufanya miamala ya kibiashara kwa unafuu.
Benki ya CRDB yafanya mabadiliko ya ada kwenye huduma zake
2019年1月16日 · Benki ya CRDB imefanya mabadiliko kwenye baadhi ya ada za huduma zake yatakayoanza kufanya kazi kuanzia Februari 15, 2019. Taarifa iliyotolewa na uongozi wa CRDB imeeleza kuwa ada hizo pamoja na kodi zimefanyiwa marekebisho madogo kwa lengo la kuboresha zaidi huduma zake.
Akaunti ya Salary | CRDB Bank Plc
Mteja wa salary akaunti anaweza kupata kitabu cha hundi? Hapana, mteja wa HESABU YA MSHAHARA hastahiki kituo cha vitabu vya hundi. Mteja wa salary akaunti anaweza kupata mikopo ya Benki ya CRDB?
PINDA AKABIDHI HUNDI YA MIL 45 KUTOKA CRDB KWA …
2024年9月12日 · Geophrey Pinda amekabidhi hundi ya shilingi milioni 45 kwa vikundi vitatu vya wajasiriamali wa halmashauri ya Mpimbwe wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi kutoka benki ya CRDB kuvijengea uwezo. Mbunge wa jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.