
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na …
13 小时之前 · Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama imefanya ziara kutembelea ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa. Kwa upande wake Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Luteni Jenerali Salum Haji Othman, ameishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwezesha ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa ...
Kamati ya Kudumu ya Bunge Ilivyofanyia Ziara Ujenzi wa Makao Makuu ya ...
1 天前 · Akizungumza kwa niaba ya Kamati, Mwenyekiti wa Kamati hiyo ambaye pia ni Mbunge wa Namtumbo Mheshimiwa Vita Kawawa amempongeza Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Luteni Jenerali Salum Haji Othman kwa mafanikio makubwa ya ujenzi wa …
KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE YAKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA …
2 天之前 · Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama imefanya ziara kutembelea ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa, Dodoma leo tarehe 12 Machi 2025 na kupongeza mafanikio yaliyofikiwa. Akizungumza kwa niaba ya Kamati, Mwenyekiti wa Kamati hiyo ambaye pia ni Mbunge wa Namtumbo Mheshimiwa Vita …
Kamati ya Bunge yaridhishwa na miradi ya TAWA Makuyuni
1 天前 · Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Timotheo Mnzava ameyasema hayo leo Machi 13,2025 wakati wa ziara ya kamati hiyo ya kukagua miradi hiyo Mkoani Arusha. “Kipekee tuwapongeze TAWA wanafanya kazi nzuri hasa katika kazi ya ukarabati na ufunguaji wa barabara na kazi ya utengenezaji wa bwawa” amesisitiza Mnzava.
KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA MIRADI YA TAWA …
1 天前 · Na Happiness Shayo – Arusha. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeridhishwa na utekelezaji wa miradi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) ya ujenzi wa barabara (km 30) kwa gharama za shilingi milioni 256 pamoja na ujenzi wa bwawa kwa gharama ya shilingi milioni 125 katika Hifadhi ya Wanyamapori Makuyuni iliyopo Wilayani Monduli Mkoani Arusha ikiwa ni ...
KAMATI YA BUNGE YA MAZINGIRA YARIDHISHWA NA …
13 小时之前 · Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira Mhe. Jackson Kiswaga tarehe 13 Machi, 2025 wilayani Nzega mkoani wakati wa ziara ya kamati hiyo ya kutembelea na kukagua Mradi wa LDFS unaoratibiwa na Ofisi ya Makamu wa Rais. Mhe. Kiswaga ambaye pia ni Mbunge wa Kalenga amesema kuwa miradi hiyo imetekelezwa kwa ...
Kamati ya Bunge yaipongeza PSSSF kwa usimamizi bora wa …
1 天前 · Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeupongeza Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kwa usimamizi mzuri wa vitega uchumi vyake, ambavyo kwa sasa vinajiendesha kwa faida. Kauli hiyo imetolewa Machi 12, 2025, jijini Arusha na wajumbe wa kamati hiyo wakiongozwa ...
Kadi za mialiko - Wikipedia, kamusi elezo huru
Mambo muhimu ya kuzingatia katika uandishi wa kadi za mialiko ni: 1, jina la mwandishi na anwani yake. 2, jina la mwandikiwa. 3, lengo la mwalikaji kwa ufupi. 4, tarehe ya mwaliko. 5, mahali pa kukutana. 6, wakati wa kukutana. 7, jibu lipelekwe kwa …
Je, unajua maana ya rangi tofauti za maua unapopokea au kumpa maua …
2023年7月20日 · Rangi za maua zina maana maalum, na ni muhimu kuchagua rangi sahihi ili kuwasilisha ujumbe sahihi kwa mhusika. Maua meupe yanawakilisha usafi, heshima, ujasiri, na mwanzo mpya, na mara nyingi hutumika kwenye harusi na mazishi. Maua mekundu yanawakilisha upendo, na ni chaguo bora kwa maadhimisho ya ndoa na Siku ya Wapendanao (Valentine's Day).
KAMATI YA KUDUMA YA BUNGE YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI …
2021年8月15日 · Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji Mhe Dkt. Christine Ishengoma ameipongeza Wizara ya Kilimo pamoja na Taasisi Kilele inayojihusisha na ulimaji wa mbogamboga, maua na mazao ya bustani TAHA kwa uwekezaji mzuri nchini.