Mm, Bad
Aweh
Igama lami ngu-Jaivah wena
Aweh, aweh
Aweh
Jaivah
Hule mtoto kaniona 'kati nimependeza
Kaona dorime hiyo mitungi juu ya meza
Ananiangalia huku macho analegeza
Nami nampimia, akijitusu natembeza
Hule mtoto kaniona 'kati nimependeza
Kaona dorime hiyo mitungi juu ya meza
Ananiangalia huku macho analegeza
Nami nampimia, akijitusu natembeza
Nikamwambia hapa mitungi buruda
Washa hata kitu buruda
Na kama sio kesi, na kama upo freshi
Hapa hata mikasi buruda
Nikamwambia hapa mitungi buruda
Washa hata kitu buruda
Na kama sio kesi, na kama upo freshi
Hapa hata mikasi buruda
Akaniuliza, nani jina lako?
Igama lami ngu-Jaivah
Igama lami ngu-Coach
Igama lami ngu-Striker
Akaniuliza, ubani igama lakho?
Igama lami ngu-Jaivah
Igama lami ngu-Coach
Igama lami ngu-Striker
Si mtoto alivyoona venye nimepoa (alivyoona venye nimepoa)
Ye' akanichukulia poa (ye' akanichulia poa)
Na mwanenu n'navyojua kukomoa (na mwanenu n'navyojua kukomoa)
N'nakuwaga kama natafuta ndoa (n'nakuwaga kama natafuta ndoa)
Nauliza niendelee, niache?
(Kwanini uache? Kama umelianzisha twende mpaka asubuhi)
Nauliza niendelee, niache?
(Kwanini uache? Kama umelianzisha twende mpaka asubuhi) hallo
Limenibana kojo, kojo, kojo
(Kojo, kojo, kojo)
Kojo, kojo, kojo
(Kojo, kojo, kojo)
Nimelewa, sioni mbele, sioni nyuma
Sioni juu, sioni chini, tundu liko wapi? (La choo)
Ah, sioni mundu, sioni kijema
Kwani njia iko wapi? (Ya chooni)
Ah, kama nawakwaza semeni (hautukwazi, tajiri)
Kama nawaboa semeni (hautuboi, tajiri)
Kama nina gubu semeni (hauna gubu, tajiri)
Kama ninabaya semeni (hauna baya, tajiri)
Sheh, leo DJ nani? Chapa ngoma ya Zuchu (Honey)
Anapiga nani? Hebu ngoja nipokee
Hallo (hey baby, please! Come back home please! I need you now)
Kumbe shemeji lenu anataka nirudi home, au ninyi munasemaje?
Nauliza niendelee, niache?
(Kwanini uache? Kama umelianzisha twende mpaka asubuhi)
Nauliza niendelee, niache?
(Kwanini uache? Kama umelianzisha twende mpaka asubuhi)
Nauliza niendelee, niache?
(Kwanini uache? Kama umelianzisha twende mpaka asubuhi)
Nauliza niendelee, niache?
(Kwanini uache? Kama umelianzisha twende mpaka asubuhi)
Limenibana kojo, kojo, kojo
(Kojo, kojo, kojo)