(Ona-nana, nana, nana, nana-na)
Imuh (Amzy)
Na yeye nd'o kanidaka juu, juu
Na penzi lake kama 'dege la kijeshi
Ye' nd'o katibu wa nidhamu
Anani-search mpaka ndani kwenye fensi, ayee
Amenivuruga, amenibambanya, jamani si' utani (si' utani)
Na kama padri na msalaba, shekhe na msikiti, nd'o yeye na mimi
Na baby, basi stop, weka nukta
Ukizidisha mwenzio nitachizika
Hili penzi ama sadaka
Unanipa mpaka nashindwa pa kuweka
Na mara popo kanyea mbingu
Miguu juu-juu, kama tunacheza judo
Dozi mchana, usiku, sipati nafuu
Kama naumwa kifaduro
Baby, punguza raha, mi' nakuwa kibonge, n'anenepa
Kwani hakuna dagaa mbona kila siku wanipa mafuta?
Mwenzako nimekuwa chibonge
Nimetoka minyama
Ona n'na mashavu kama napuliza mo-oto
Nimetoka minyama
Na penzi umejaza wese, wewe, wewe
Nimetoka minyama
Mwenzenu nimetoka minyama, ah
Nimetoka minyama
Mwenyenu n'anenepa kwa raha
Nilipata majangiri, nikadhani mapenzi sio raha
Nilijiona bahiri, kumbe sijawahi pendwa, ah, aye
Sasa napendwa na pesa natoa
Roho mkunjufu, nafsi nimeridhia
Akinitega tu pochi nampatia
Na n'navyopenda ngono sijui nitatoboa
Penzi lake n'nakopea mkopo bank
Nakopeshwa na sidaiwi
Kutwa n'nazama mgodi wa chumvi
Sipati safura wala kisukari
Na mara popo kanyea mbingu
Miguu juu-juu, kama tunacheza judo
Dozi mchana, usiku, sipati nafuu
Kama naumwa kifaduro
Baby, punguza raha, mi' nakuwa kibonge, n'anenepa
Kwani hakuna dagaa mbona kila siku wanipa mafuta?
Mwenzako nimekuwa chibonge
Nimetoka minyama
Jamani mbona anaupiga mwingi
Nimetoka minyama
Ananipa full charge, wala haringi
Nimetoka minyama
Ona n'na mashavu kama napuliza mo-oto
Nimetoka minyama
Oh, whoa, whoa
(Mara nasema ongeza, nasema punguza hadi sielewi)
(Mara nadai nimechoka a'fu nataka tena yaani sijui)
You can call me Zuzu (Zuzu yeah)
Lizzy records