(Kimambo on the beats)
Aiyayayaya aiyayayaya
Aiyayayaya aiyayayaya
Niko tuli baby
Kama maji kwa mtungi
Nyonga buli baby
Nivute niiishi nibaki kishungi
Aii zuri baby
Nibandike nigande ka gundi
Maakuli baby
Nilishe nishibe kitumbo ndindi
Unanikoleza, unanichombeza
Unanilegeza ai wee
Ukianzaga ndani unayaweza kitandani
Kwenye meza tsunami, jeneza ni wee
Nakupenda, nakuwaza
Forever you are, my boo boo
Unipende nikupende we
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nime nime nime nimekuzoea
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nime nime nime nimekuzoea
(Aiyayayaya aiyayayaya)
Kazoea vyote, kazoea mpaka kazoea
Kabobea kote, kabobea mpaka kabobea tena
Nalowea kote, nalowea mpaka nalowea
Inakolea yote, nakolea tamu kukolea tena
Nipo katikati nazungukwa na upendo
Sa ninatokea wapi? Kaziba kote hajaacha pengo
Wanafikaga wapi? Peku bila sendo
Mfike saa ngapi vyote tembea kwa wako mwendo
Nakupenda, nakuwaza
Forever you are, my boo boo
Unipende nikupende we
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nime nime nime nimekuzoea
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nime nime nime nimekuzoea