Once again (Jimmie X double six)
Maskini mimi
Mwenzako mimi naumia sana
Japo nishajua mimi kua sawa na wewe haitawezekana
Hata nikishuka chini ndio unaniona mi' mjinga sana
Eti umepatwa nini mbona apo mwanzo ulitulia, aah?
Na wala sio mbali, sio mbali
Tulikua karibu na malengo
Na leo kiutani kama utani
Umeshindwa kuumaliza mwendo
Na tena haujali, haujali
Ukiondoka utaacha pengo
Hakuna cha habari nikae mbali
Huku kuachwa bila maelezo
Mbali nawe, mbali nawe
Mbali nawe, mbali nawe
Mbali nawe, mbali nawe
Mbali nawe, mbali nawe
Hu-uh-uh-uh-uh
Oh-ah-ah-ah
Au kua na mie hautamani
Ah, basi niambie kosa gani
Basi niambie jinsi gani
Utakua sawa baby, mmh
Nikueleze jinsi gani?
Vile nimekuweka moyoni
Ata unipime kwa mizani
Nitajaa kwako honey
Mi' naumwa, siko sawa
Lako penzi ndo yangu dawa
Mi' naumwa, ah siko sawa
Lako penzi, ah ndo yangu dawa
Na wala sio mbali, sio mbali
Tulikua karibu na malengo
Na leo kiutani, kama utani
Umeshindwa kuumaliza mwendo
Na tena haujali, haujali
Ukiondoka utaacha pengo
Hakuna cha habari nikae mbali
Huku kuachwa bila maelezo
Mbali nawe, mbali nawe
Mbali nawe, mbali nawe
Mbali nawe, mbali nawe
Mbali nawe, mbali nawe
Comic Slyzer
Music